Transport Expert: Bsc Civil and Transport Engineering-UDSM, Msc Transport Planning and Engineering - UoL, MA Transport Economics-UoL.
Studying LLM - OUT
@kafulila_david Hata sijakuelewa Mkuu unachomaanisha. Ila Transport is a Public Goods and Economic Hub. So, Government is responsible for setting Policy and Planning, otherwise no a classified investor can invest in such contradicting policy tools.
Mtu anayekuja kutembelea alipojificha katika nchi yenu wakati wa kudai uhuru nchi mwao ni historia ambayo inawaspot out watu wawatafari kwa kina. Kwangu mimi hii spotout ni kutia chumvi kwenye kidonda bora kuchutama na kukaakimia. Katika Macho ya Wanadiplokasia Rais wa Namibia Hana tofauti Na LISSU na WaTZ wengi waliojificha sehemu mbalimbali nje ya nchi leo.
@ChademaTZ2@HecheJohn Wakati Rais Magufuri ana mawazo kama hayo Mbona hamkuwai kumuunga mkono na kufanya nae kazi shida yenu pia ni kupinga kila wakati na kila mtu. Au ndio Mtasema Mbowe alikuwa ana wamiss lead?
Ukitaka matokeo Chanya katika Jamii yoyote, acha kupoteza muda na Personality na kuangaika na watu. Shughulika na matatizo ya Jamii yako na elekeza nguvu zako katika kukabiliana na matatizo yanayoisumbua Umma wako, utaona Mabadiliko makubwa.
@Baradhuli2@MariaSTsehai Wakati unatoa hayo Matusi ukumbuke familia yako hata kama huna dini. Jipongese, Mmetufikisha hapa kwa ukosefu wa akili na bado wengi wenu mmegoma kutumia akili.