Nimemsikia Rais Magufuri na jibu lake la kibaguzi la ovyo dhidi yangu. Yeye ndiye alisema ktk Maendeleo hakuna itikadi. Sioni ajabu sifa kubwa ya Rais Magufuri ni kuropoka. Akipewa jogoo anampa mume Mama yake wewe Uliona wapi Mtoto kumpatafutia hawala mama yake. Rais Jitathimini.