Tundu Lissu tuambie Tanzania ndiyo Tanganyika.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania si sahihi kutoka Zanzibar?
Bandari ya Muungano je ni kosa Waziri Ujenzi kutoka Zanzibar?
Je wapi ktk Mkataba imesema Bandari za Tanganyika?
CHADEMA hacheni Siasa maji taka zimepitwa na wakati kwakwe.!?
Hongera ACT Wazalendo Hongera Mhe Jusa Umeeleweka sana.
ACT Wazalendo ni Sauti ya Wasio na Sauti Chama Imara.
Ukweli Uwajibikaji na Uwazi ndicho tunachohitajika.
*Taifa la wote kwa Maslai ya wote*
Odinga kuingia Ikulu Inawezekana.
Elimu bora bure kwa wote.
Bima ya Afya kwa wote.
Uhuru, Haki Demokrasia na Maendeleo endelevu.
Umoja Uwajibikaji, Uwazi, Ukweli na Uwaminifu.
Umasikini kwishinei Kenya yenye Neema Inawezekana
Twende na Azimio la Umoja Twende na Raila Odinga.
Ni kejeri si sahihi si tabia mzuri,,,,,
Inatakiwa tuwe wabunifu ktk comedy zetu si kama hivi ni ushamba uliopitiliza Kwa mimi sikupenda sijui wewe sikupenda kwa kweli. Sijuwi wewe?
ACT Wazalendo Taifa kwanza leo na kesho Shusha tanga pandisha tanga safari inaendelea Chama kiongozi Tanzania.
ACT Inaviongozi wake Wakweli Wahaminifu wenye hekima na maono ya mbali.
Tunawatabilia kwa Umoja na Mshikamano walionao ukiendelea watashika Dora Tanzania na Zanzibar
@halimamdee CHADEMA mumejikoroga wenyewe. Vyama vyote vya siasa vinasimamia Haki na Uadirifu Mhe Halima Mdee hongera kwa kupigania haki yako kwa mujibu wa sheria za Nchi. Ndiyo mantiki na sifa ya mpambanaji kupambana na pia kujipambania upo sahihi tutajua mengi Ngoja tuone
Katibu Kata ya Kiranjeranje Ndugu Selemani Nandoli Katibu kata ya Kikole Ndugu Amiri Mbeleki (Bongo) na Mgombea Udiwani viti maalumu 2020 Esha Kimbanga (Zuchu) wa CUF Chama cha Wananchi Kilwa kusini wajiunga ACT Wazalendo. Karibuni wapambanaji Umoja ni nguvu Utengano ni Udhaifu
https://t.co/4ztChx4tM0 ni tatizo lililoshindikana Wilaya ya Kilwa!? Wafugaji na Wakulima wanatowana roho Kilwa. Serikali ya CCM Jisasahihisheni. Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa ni vizuri mujitahidi kwa ili. Musipo ziba ufa mutajenga Ukuta hayawi hayawi huwa.
Kama kweli CHADEMA inaamini hawa si wanachama wa CHADEMA na hamna lengo wa kuwaingiza wabunge wengine 19 Bungeni. Ili mueleweke na Watanzani nashauri waacheni wawe wabunge wa Mahakama. Mutaumbuwana Mahakamani yatajulikana mengi tusiyoyajua kila kitu kitakuwa wazi nifikilivyo tu.
Mnaosema akina Mdee hawakupewa nafasi ya Kujitetea au Kuomba msamaha sikilizeni hapa Vizuri
Badala ya Kutumia muda huo,Kila Mtu kwenda mbele Kuzungumza na Wajumbe wa Baraza kuu
Kwanza Wote Wakawa Wanamuangalia Mdee kama Mazuzu Vile,Kisha Wakagomea wito wa Mbowe Kwa Kiburi chao
Mhe Halima Mdee na wenzie 18 ni kweli hawakupewa nafasi ya kujitetea na kujieleza kwa kauli hii "Kama kuna yeyote miongoni mwenu ana kauli aseme ktk ili la kuomba msamaha" N kauli ftatai uhuni kujitetea na kujielezani haki ya asili si kuomba msamaha kuomba msamaha ni kukiri kosa
Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa ni haki ya Kikatiba, CHADEMA hacheni propaganda tambuweni Watanzania wa leo wanajitambuwa Spika kutoa nafasi ya kusikiliza maamuzi ya Mahakama sahihi kwa sisi waumini wa haki ya kujitetea na kusikikilizwa. Tunasubiri tutatambuwa nani muhuni.