Safisha barakoa yako kwa sabuni na Maji safi hasa ya vuguvugu (walau 60 Centigrade) kwa kila siku. Hakikisha una barakoa yako peke yako na haitumiwi na mtu mwingine. (Chanzo, @WHO_Tanzania) #Covid19ChampionsTz
Cc: @FeminaHip@UNICEFTanzania@SwedeninTZ
https://t.co/xbNhCIx5Pw
(1/2) Ni wakati wa kuhabarishana, kupeana uzoefu na ndondo kibao kupitia Jukwaa la Power Talk💥 Mwezi huu tutazungumzia dhana nzima ya Ushawishi wa Wazazi katika Stadi za Maisha. Wazazi na vijana wote, hii sio ya kukosa🔥
Katika kipindi hiki cha covid19, tujikumbushe, "📉Takribani 39% ya watu hawanawi🚿 au kuosha mikono yako baada ya kupiga chafya😤, kukohoa au kupenga makamasi. (Chanzo, Engage for Success Organization) Cc: @SwedeninTZ@UNICEFTanzania@FeminaHip@WaterAidTZ#Covid19ChampionsTz
Katika kipindi hiki cha covid19, tujikumbushe, "📉Takribani 39% ya watu hawanawi🚿 au kuosha mikono yako baada ya kupiga chafya😤, kukohoa au kupenga makamasi. (Chanzo, Engage for Success Organization) Cc: @SwedeninTZ@UNICEFTanzania@FeminaHip@WaterAidTZ#Covid19ChampionsTz
Katika kipindi hiki cha covid19, tujikumbushe, "📉Takribani 39% ya watu hawanawi🚿 au kuosha mikono yako baada ya kupiga chafya😤, kukohoa au kupenga makamasi. (Chanzo, Engage for Success Organization) Cc: @SwedeninTZ@UNICEFTanzania@FeminaHip@WaterAidTZ#Covid19ChampionsTz
Safisha barakoa yako kwa sabuni na Maji safi hasa ya vuguvugu (walau 60 Centigrade) kwa kila siku. Hakikisha una barakoa yako peke yako na haitumiwi na mtu mwingine. (Chanzo, @WHO_Tanzania) #Covid19ChampionsTz
Cc: @FeminaHip@UNICEFTanzania@SwedeninTZ
https://t.co/xbNhCIx5Pw
Bara la Afrika linakadiriwa kuwa na watu zaidi ya bilioni 1.3 na zaidi ya 60% ni vijana waliochini ya miaka 30.Vijana ndio nguzo ya mabadiliko katika jamii.Kutana na vijana ambao wamejitolea kusambaza taarifa sahihi kuhusu janga la Covid19.#Covid19ChampionsTz@feminahip @uniceftz
Vijana wa taifa la leo hujikinga na kuwakinga wengine kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona kutoka Wizara ya Afya, kwa kupiga 199 au *199# na 0800110124 wakiwa ughaibuni.
Cc: @FeminaHip@UNICEFTanzania#Covid19ChampionsTz
Shiriki katika chalenji hii ya kunawa mikono, unachotakiwa kukifanya ni kujirekodi video fupi ukionesha hatua sahihi za kunawa mikono na kisha upost katika kurasa zako za mitandao ya kijamii ukiwatag @FeminaHip na @UNICEFTanzania#NawaNaChampsChallenge#Covid19ChampionsTz.
Unapokuwa umevaa kitambulisho chuoni usisahau kuvaa na barakoa😷! Utakuwa unajikinga wewe na kuwakinga wengine 🚑, mtimize ndoto zenu na kufikia malengo🎓📚.
#Covid19ChampionsTz
Je @millardayo na @Salym ni watangazaji wanaokuvutia kwa umahiri wao? Unaweza kutumia kipaji chako kushinda T-shirt bomba za @feminahip huku ukiendelea kuwahamasisha jamii kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya virusi vya Corona!
#covid19championstz
Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafya ukiwa kwenye mikusanyiko yoyote. Piga 199 au *199# kwa msaada na ukiwa nje ya nchi piga 0800110124.
#covid19championstz
Cc: @feminahip@UNICEFTanzania
Teknolojia imerahisisha upatikanaji wa taarifa kiganjani mwako. Piga namba 199/ *199# kupata taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa COVID19 kutoka Wizara ya Afya. Kama upo ughaibuni unapiga namba 0800110124.Taarifa sahihi ni muhimu. #Covid19ChampionsTz