Kwa heshima kubwa napenda kutoa Pongezi kwa Mhe. Waziri wa Mawasiliano na Technologia ya Habari @JerrySilaa pamoja na Wizara @wizaramth kwa kuzindua Mnara wa Mawasiliano simu Katika Kata ya Lengatei ( Orkitikiti na Engangongare). Natoa shukuran nyingi kwa niaba ya Wananchi wote.
"Mtu mwenye misimamo na mzalendo aliyekuwa anatoa asilimia 60% ya Mshahara wake kusaidia wahitaji yeye anabakiwa na 40%". Hayati Edwad Moringe Sokoine ni mfano wa kuigwa na ametuachia funzo kubwa sana mno. Mungu atusaidie
Urefu wa futi 6.4, macho makali na sura ya kazi. Mmasai kweli kweli na Mkatoliki kindaki ndaki. Mtu mwenye misimamo na mzalendo aliyekuwa anatoa asilimia 60% ya Mshahara wake kusaidia wahitaji yeye anabakiwa na 40%. Kitabu cha Edward Sokoine kimetoka, naamini tutakijadili pamoja.
Pole sana rafiki yangu Mhe. Abdallah Mwinyi @Dullahmwinyi1, Familia na watanzania wote kwa Msiba huu Mzito kwa Taifa. R.I.P Mzee Ali Hassan Mwinyi๐ญ๐ญ๐ญ
Pale ambapo mtu amefanya kile anachokiona na kuamini kuwa ni wajibu wake kwa watu wake na nchi yake, anaweza kupumzika kwa Amani. Naamini Hayati Mzee Mwinyi amefanya juhudi hiyo na ndio maana atalala kwa Amani katika nyumba yake ya Milele.
Poleni sana ndugu zetu wa Hanang( Manyara) hususan familia, ndugu na marafiki ambao ndugu zao wamepoteza maisha kutokana janga hili kubwa. Mungu awape nguvu katika kipindi hichi na Mungu awaponye haraka na kuwapa wepesi wote walipata majeraha kutokana na hili janga kubwa.
Ni jambo la Baraka na la kumshukuru Mungu kwa mvua zinazoendelea kunyesha nchini hususan Vijijini kwaajili ya Wakulima na Wafugaji. Mazingira yalitunzwa na kulindwa maisha yetu sisi binadamu yanakuwa mazuri zaidi na changamoto nyingi zinapungua sana. Tujali na kutunza Mazingira.
Aidhaa nitoe wito kwa wananchi wote kuheshimu matumizi bora ya Ardhi ilikuondokana na migogoro isiyokuwa ya lazima. Aidha nawasihi wananchi kuendelea kutumia vyombo vya sheria kutatua changamoto za migogoro. Nawatakiwa wananchi Sikukuu Njema za Christmas na Mwaka Mpya 2024.
Leo tarehe 24 Novemba 2023 nilipata bahati ya kutembelea Kata ya Kaloleni na kushiriki shughuli za Kilimo kwa Shamba la *Mzee Salum Kabila*. Nawatakiwa wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto Kheri katika Kilimo na Ufugaji. Mvua zinazoendelea ni fursa kubwa kwetu sote.
Aidhaa nitoe wito kwa wananchi wote kuheshimu matumizi bora ya Ardhi ilikuondokana na migogoro isiyokuwa ya lazima. Aidha nawasihi wananchi kuendelea kutumia vyombo vya sheria kutatua changamoto za migogoro.
Nawatakiwa wananchi Sikukuu Njema za Christmas na Mwaka Mpya 2024*.
Leo tarehe 24 Novemba 2023 nilipata bahati ya kutembelea Kata ya Kaloleni na kushiriki shughuli za Kilimo kwa Shamba la *Mzee Salum Kabila*. Nawatakiwa wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto Kheri katika Kilimo na Ufugaji. Mvua zinazoendelea ni fursa kubwa kwetu sote.