@NIDA_Tanzania Nilitumiwa ujumbe tarehe 21.03.2025 kwamba nikachukue kitambulisho ofisi za nida Arumeru. Nimemtuma mtu aende kunichukulia alipofika kitambulisho hakionekani kaambiwa nisubiri mpaka nitumiwe ujumbe tena. Na niliambiwa nikachukue kabla ya terehe 20.04.2025. Angalieni hili.
‼️WANAFIKI MNATIA HASIRA SANA‼️
Tupo zaidi ya mwezi tunapaza sauti wenzetu wametekwa mnapita bila hata kuREPOST achilia kauli
Mmeona MAUAJI ya Mzee Ali Kibao ime trend duniani na mnaulizwa "what is going on?" hadi @SuluhuSamia kaona atoe kauli ya kinafiki - sasa mnakuja kutoa pole na kusema mmechukizwa na haya!
Mnasubiri hadi watu wafe na miili yao ipatikane muende kwenye mazishi na/au kutoa pole mitandaoni?
Acheni UNAFIKI and wake the f&@* up!
Shirikini nasi kutaka utekaji uishe na tuishi kwa uhuru - acheni kutetea au kukalia kimya dhulma! Bado tunawatafuta kina Soka semeni
#FreeDeusdedithSoka #FreeChaula #FreePoliticalPrisoners
‼️ HEKIMA ZA WAHENGA‼️
“Aki korpa közé keveredik, megeszik a disznók”
“S/he who mixes with the bran, will be eaten by the pigs”
“Anayejichanganya katika pumba, ataliwa na nguruwe”
Msemo huu alinifundisha mama yangu!
Funzo: Ukikubali kuteuliwa na kuwa sehemu ya “pumba”, siku ikifika wahusika wenyewe watakumaliza
Ndo maana teuzi za wahalifu na madhulmat hazitakuacha salama! Wakishamalizana na wewe - usitafute huruma! What did you expect!? You never were special! Best is to avoid the drove of pigs in every form or way!
Jumapili njema