@tzrailways Na hizo fulsa za kazi pia mtupe syo taalifa tu za mabehewa kuingia ,maana Mpka hapo tayali wafanyakazi mshawaandaa kakakakka ,hebu tuoneeni huluma na sisi
@SomjiTicha@AbroadTanzania Usisubili kitabu we subili siku ya kumpzika kwako ndio vitakuwa vitabu vyetu hapo ndio utakuwa mwisho wetu wa vitabu vyetu vya duniani bro
@SuluhuSamia Mama shikamoo samahani naomba nichukue nafasi hii kwa heshima yako ,na mimi naomba nafasi ya kazi tren ya sgr ,maana kila nikiomba sisikilizwi samahani mama kwa usumbfu