@MuskUniverseUsa Glass D, this from the" Law of Floatation" The displace water is equal to the weight of object immersed,! When you of all objects immersed into the glass the Watch seems to have greater waight than other objects.
@godbless_lema Non sense, lema Hoja huna kama unafikiri hivyo ndio vitakupa ubunge 2025,nasikitikitika kusema hao watakao kupa kura zao hawatakua watu wa Arusha, siku hizi sio zama za mipasho brother ni nyakati za vitendo,matendo yako ndio yatayo kupa Ubunge!
@bbcswahili Sioni tija ya haya maandamo zaidi ya kusababisha adha kwa watumiaji wa barabara, ifike wakati viongozi wa vyama vya siasi wafikiri tofauti!
Tanzania winger Tarryn Allarakhia has become the first Wealdstone FC footballer ever to play at an Africa Cup of Nations after starting against 2022 World Cup semi-finalists Morrocco ๐