Nimeona basi la mwendokasi Kimara pale kwenye display imeamdika Guangzhou Train station…Naamini haya magari yalikuwa mapya…Hayakuwai kupiga trip za Guangzhou.
BET Awards: BET - Disqualify Diamond Platnumz from BET AWARDS 2021 (for Best International Act) - Sign the Petition! https://t.co/L5y1qlEsnc via @Change
#HABARI Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @jjmnyika amesema chama hicho hakijafanya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum, hivyo hakuna orodha kutoka @ChademaTz iliyopelekwa kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Nimesoma taarifa kutoka Kajiado, Kenya kwamba @godbless_lema na familia yake wamekamatwa kwa kuingia Kenya bila vibali vya uhamiaji walipokuwa wakijaribu kutoroka kutafuta hifadhi ya kisiasa kupitia UNHCR. CCM wameamua kuwafanya watu wakimbizi. Namuunga mkono Godbless katika hili
Tonite @ 2.30 am & in the eve of an election day in Tz, heavily armed gangsters believed to be the notorious operators of Hai DC Ole Sabaya & protected by Hai Police OCD have raided our hotel, kidnapped & disappeared with two of our armed security guards. My life is in danger.