Today, the High Commission of Tanzania to South Africa held a discussion with the delegation from Tanzania's Higher Education Student's Loans Board (HESLB), led by Dr. Bill Kiwia, the Executive Director. Dr. Kiwia and other HESLB Directors are in South Africa for a series of meeting with stakeholders, and today, they paid us a courtesy visit. It was a pleasure exchanging ideas with the delegation for the envisaged growth of the HESLB and the SAMIA SCHOLARSHIP.
Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Mhandisi Patrick Mfugale (Mtendaji Mkuu-TANROADS). Nitaukumbuka mchango mkubwa katika ujenzi wa miundombinu yetu hasa barabara, madaraja, reli na umeme. Pole kwa Familia na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina
With Tanzania recently gaining recognition as a middle income economy and the world in its 4th industrial revolution, the launch of the FYDP lll today, and its implementation in the following years will continue to foster necessary development, propelling the country’s economy.
Dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufunguliwa Julai 1, 2021. Mwongozo kupatikana kuanzia Juni 25, 2021 katika https://t.co/mxxg3xuZNf - Abdul-Razaq Badru
@SimonMsenga@SimonMsenga Ni muhimu kufahamu sababu za kutopangiwa mkopo kwanza, kama ilivyokua kwa yule mwingine. Mara nyingi, kunakua na makosa katika uombaji. @HESLBTanzania itamtafuta na kumshauri.
Ni moja ya majukumu yetu ya msingi, kama Ubalozi, kuhakikisha mazao yetu yanapata Soko la uhakika hapa Korea. Tunafurahi kuona kahawa yetu imekubalika na kupata muitikio chanya na sasa inapatikana katika Supermarkets, Coffee Shops na maduka mbalimbali.
Marais wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mhe. Jakaya Kikwete walipowasili jijini Nairobi kwa ajili ya Mazishi Rasmi ya Rais mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel arap Moi.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin W. Mkapa akimtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt @MagufuliJP Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hongera sana Mhe Rais👍! Kazi Iendelee
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu na Baba wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe. Afrika imepoteza mmoja wa viongozi Jasiri, Shupavu, Mwanamajumui wa Afrika na aliyekataa ukoloni kwa vitendo. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
April 13, 2019, Maswa, Simiyu: HESLB wakitoa elimu ya uombaji Mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha sita wapatao 1,166 kutoka shule zote 12 zilizopo mkoani humo.
Wanafunzi hao wapo kambini kujiandaa na mitihani inayotarajiwa kuanza Mei 6, 2019.
Mwenge Sekondari, SINGIDA: Afisa wa HESLB Daudi Elisha akiongea na wanafunzi 457 wa kidato VI kuhusu sifa na utaratibu wa kuomba mkopo wa elimu ya juu.
Wanafunzi Victor Masimo, Kajolo Kasana na Martin Msengi walipata fursa ya kuuliza maswali na kupata ufafanuzi.