Mtu yeyote anajifanya kukusaidia kumbe ni kwa masilahi yake binafsi , na ukafanikiwa kufika sehemu fulani basi jua hizo zote ni jitihada zako binafsi.
@diamondplatnumz @
Ningependa tu kuwaomba wasanii wote hasa wale waliotarajia kuperform leo pale leaders, wawe imara tu na wasiwe disappointed lkn pia kiroho safi tu wawasupport wasanii wenzao ambao usiku huu watadondosha bonge la burudani huko Mtwara. @wasafitv
Mchezaji wa zamani wa PSG ambae kwa sasa ni kocha wa kikosi cha PSG cha chini ya miaka 19, Thiago Motta anapanga kufanya mapinduzi ktk mifumo ya Soka kwa kuja na mfumo wa 2-7-2 ambapo Golikipa atacheza kama kiungo na kuifanya timu icheze kwa kushambulia zaidi.#MillardAyoSPORTS
Duh!! Leo ndo niamini uchawi upo bongo, jamaa walishajitapa full kujenga masteji kwa gharama, matiketi kama yote na kauli mbiu shazi, mwisho wa siku nao wanajikuta wako mtwara kuangalia #WasafiFestival2018 kweli haya ni mapinduzi aisee!
@diamondplatnumz@Sallam_SK@BabuTale
@diamondplatnumz When Sir God says YES nobody can say NO. kubwa ni moja tu nayo iko pale NANGWANDA SIJAONA STADIUM basi, Wacha tusherehekee tu mapinduzi ya burudani Tanzania...
BONGO FLEVA INDUSTRY REVOLUTION....
KUZALIWA UPYA KWA SANAA TANZANIA.
Kila kituo tulichokuwa tunapit, tulikuta wananchi wamesimama Barabarani wakitungojea kutulaki...Kwakweli tunawashkuru sana kwa Upendo wenu Kubwa, na Hususani Mnavyoipokea hii #WasafiFestival2018 .... Hakika... https://t.co/9ILkjkdC8D
Sipati picha ile ngoma ya #KandaMaalum ya @NikkiMbishi x @Wakazi itakavyo warusha watu wa mtwara pale Nangwanda sijaona stadium, kwani beat yake ikikutana na sound nzito ni balaa jingine....
part 2: Haya sasa wasanii kazi ni kwenu kuhakikisha unamsimamo na hata unapotakiwa unataja dau litalowezesha kusaidia familia yako kesho na keshokutwa...sio tena kujipeleka halaf kesho kuleta malalamiko eti ooh umenyonywa! utakuwa ni ujinga wako.. sie tushaanza kumaliza kazi!!
Adabu imewakaa sasa, wanaanza kuwaheshimu na kuwakumbatia wasanii...Hata wale walosema hawauzi sasa wanawaona wanathamani...Eti hadi kucheza nao kikapu ๐๐ Manina!... na hii ndio Maana halisi ya Mapinduzi ya Burudani!! yani Tuheshimiane #Pumb**U