@Tumaini7@tonyalfredk Kaka ningekua na dada ningekupa. Umeongea fact aisee alaf sasa kaja kupost kwenye mtandao wa mmiliki wa Starlink.. Double kick sio nzuri aisee
@tumaini9608 @tonyalfredk Sasa jameni tofauti ya star link na wengine ni nini. Sometimes tusiwe wepesi kupinga kila kitu. Africa tuko nyuma sana. Haya starlink kaingia partnership na Airtel. Tuone Airtel itafukizwa nchini??
@chapo255 Hawa wenzetu njaa kali kujisifu mtandaoni ila wanajua kuomba mara futari haina tende tuchangieni, mara daku haina pilipili tuchangie now wanaomba luku mtandaoni. Ingekua upande wapili wangehoji kua ni biashara. Jaman kila mtu ana nafasi katika nyumba ya bwana na utoaji wake.