Ee Mungu unichunguze uujue Moyo wangu
Unijaribu uyajue mawazo yangu
Uone kama niko njia iletayo majuto kwangu๐
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako.๐๐งโโ๏ธ
Happy sunday
Nilikesha sana humu ndani Md2 ๐๐, I would like to appreciate everyone who studied pharmacology, regardless of the grade ๐โฆ. Pharmacology is not for the weak ๐๐๐ #Muhimbiliuniversity
Nilikesha sana humu ndani Md2 ๐๐, I would like to appreciate everyone who studied pharmacology, regardless of the grade ๐โฆ. Pharmacology is not for the weak ๐๐๐ #Muhimbiliuniversity
TMDA KUPEWA JUKUMU LA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA
-Ongezeko la matumizi holela ya Dawa za Antibiotiki
Na. WAF - Dodoma
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa mwilini (Antimicrobial resistance AMR) ni tishio kubwa la afya kwa jamii ya Watanzania hivyo Serikali imeweka mikakati madhubuti ili kukabiliana na tatizo hilo kwa kuimarisha udhibiti kwa kuanza mchakato wa kuondoa usimamizi wa maduka ya Dawa kutoka Baraza la Famasi na kupeleka majukumu haya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)
Waziri @ummymwalimu amebainisha hayo kwenye ukurasa wake wa mtandao X wakati akijibu hoja ya Frank Arabi alipohoji kuhusu matumizi sahihi ya dawa za antibiotiki.
Waziri Ummy amesema kumekuwepo na matumizi yasiyo sahihi ya dawa nchini na hivyo kufanya dawa nyingi za Antibiotiki hivyo kuwa na ufanisi mdogo katika kutibu magonjwa.
โPamoja na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu matumizi sahihi ya dawa za Antibiotiki, tatizo hii kwa kiasi kikubwa linachochewa na baadhi ya wataalam wetu kwenda kinyume na kanuni na miongozo ya taalumaโ. Amesema Waziri Ummy.
Waziri Ummy amewataka wahudumu wa Afya hasa Madaktari na Wafamasia kusimamia jukumu hilo ili Watanzania wapate uelewa juu ya matumiziย sahihiย yaย dawa.