G_technology_supplier ni wauzaji wa laptop,desktop,printer,projector, CCTV camera installation,game station
kariakoo mtaa wa uhuru
Mawasiliano:0765677207
Nikisema nizungumzie brand na biashara ya timu zetu hizi mbili za Simba na Yanga, kiuhalisia wameshindwa kupush bidhaa za wadhamini.
Msemaji wa timu anaitidha press ila anazungumzia sajili walizofanya kuwa ni kali sana, wanashindwa kusema kuwa tajiri wetu na
@maxannania@L_J__m Na ishu kubwa Ili kutunza thamani ya pesa yako lazima tufanye industrialization manake final goods zinatakiwa zitengenezwe hapa then ziuzwe nje manake importation iwe ndogo kuliko exportation Kwa hyo nchi zetu lazima ziweke hizi Kodi kubwa kustabilize mzunguuko
@raisethem3@AnnanMarck@Johnkataisa@tonyalfredk Kaka yesu alipokwenda kwenye masinagogi akakuta Kuna biashara zinafanyika hakuamia kuwaombea ila alimwaga na kutupa zile meza Kwa hyo Kuna muda ukiona jambo unalimudu na kwaajili ya kutetea Imani Fanya kwanza walitakiwa kucharazwa viboka sana