KIFANYE KIPAJI ‘PEMBE LA NG’OMBE’
#UZI🍽️
Nyuma kidogo hapo,wakati ambapo muziki wa taarabu unabamba..DAR MODERN TAARAB waliushika mji na kichupa chao cha kuitwa GHARIKA LA MOYO kikiwa kimebeba jina la albam yao..nikukumbushe tu humo ndani kulikuwa na fundi mmoja wakuitwa..