Msanii wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini 'DUDU BAYA' akizungumzia amri iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kwa Jeshi la Polisi kumkamata na kumpima baada ya Dudu Baya kukaidi wito wa kufika ofisi ndogo za Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Dudu baya amesema kupigania kwake haki na kusema ukweli ndio sababu ya kusingiziwa mambo yasiyofaa juu yake.
wabongo hapa ndo tunachemka mara zote, na sijui lini tutafunguka akili. tunawafanya wapumbavu waamini hata afanye nini kibaya akija na tendo moja zuri la chambo tuna nasa
Hapo ndio mnakoseaga wakuu,huwezi kumuita mtu shujaa kwa sababu tu amesimama upande wa Haki leo, bila kujiuliza alikuwa wapi wakati damu ilipomwagika?
Tukumbushane Ujasiri haupimwi tu kwa uamuzi wa mwisho unapimwa pia kwa kile mtu alichofanya wakati wa dhuluma.
Kumpongeza kwa hatua ya leo ni sawa, lakini kumuita shujaa kabla ya kutazama ukimya wake wa jana ni kupuuza historia. Hebu muwe mnatafakari kwanza 🤔
Mwanaume
Ukioana umeWIN addiction ya hivi vitu kwenye umri wa 20s-30s
-Pombe
-Gambling
-Kuangalia Tv
-WANAWAKE
-Over spending
-Short term pleasure
Maiaka 5 mbele, wewe ni Millionaire
Trust the process,
Muamini Mungu
Wewe sio wa KAWAIDA, wewe ni wa-THAMANI.
Watu wanapiga kelele wanasema watanzania tumuunge mkono Nchimbi kwenye kudai katiba mpya, kwanini wasimwambie Nchimbi atuunge mkono sisi?
Maana yeye ametukuta tuko kwenye mapambano kitambo!
Warumi 8:38–39 "Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba wala mauti, wala uzima..." "Hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu."