@IdrisSultan Sisi tunafanya kwa wema tuu... Sidhani kama tunahitaji kulipwa.... Kama kweli kinachotokea Nigeria kinakugusa basi unaweza kuwatendea wema sio mbaya kaka @IdrisSultan
@Nikkiwapili once said_!!
Simama Nikki Simama wima/
Siri ni kilele nikupeleke kwa jina/
Umebeba beba mkungu wa Muleba/
Uchungu kama kwao wakajifungue leba/