Wizara ya ujenzi saidie wasafiri hapa mzani wa vigwaza kunachangamoto, foleni ya magari ni ndefu sana, kutoka vigwaza hadi mlandizi @WizarayaUJ@AbdallahKUlega
@PRegnald@HecheJohn Wewe huoni kama hoja ya msingi kwakuwa hujui msingi wa uongozi wa nchi unatakiwa kuanzia wapi, kama unajua msingi unaanzia kwa Wananchi basi lazima upiganie uhai wao, si kufikiria habari za maiti
@Eric__Bernard@bonifacejoseph_ Walengwa ni wale wanaofanya biashara kwa njia ya mitandao ambao kipato chao kwa mwaka hakipungui milioni 4, hivyo basi wenye kipato cha zaidi ya milioni nne kwa mwaka wanapaswa kulipa kodi stahiki kulingana na kipato chao. Hivyo ndiyo nilivyomuelewa mie.
@AdamEzekiel12@zittokabwe@HecheJohn Ameandika kuwa mambo ya hovyo yalikuwa yanapitishwa kwa wingi wa Wabunge ambao walikuwa Chama tawala, kama unakumbuka Kuna wakati Spika Mstaafu aliwahi kushangaa Sheria walizozipitisha wenyewe, na kusema yawezekana yeye Spika hakuwepo wakati alikuwepo
@mshambuliaji Ni jambo la kusikitisha sana, hebu fikiria ni wangapi wanafanyiwa hivyo lakini kwakuwa hakuna wa kurekodi, unyama huo unaishia kusemwa umefanywa na watu wasiojulikana.
@Mwabuk2Boniface Kama ufungwaji wa kanisa hilo ni batili kwanini TLS msifungue kesi kulishitaki jeshi la Polisi kwa kuendelea kutekeleza amri ambayo ni batili?
Lakini pia kuiombea mahakama itupe ufafanuzi wa hao waumini wanakosa gani?
@JonMrema Kumbuka CCM iliwapiga chaguzi tatu 2019,2020 na 2024 je mlipambania nini hapo?
Ajenda ya No Reforms no Election mliandika wenyewe kama sekretarieti na ikapitishwa na mkutano mkuu nanyi mkiwepo, je hamkuona hilo? Msijione nyie ndo mlikuwa Bora sana aisee.