@babayaro_O3@MbayiChris27096@ayubu_madenge How yani mateka wamefanya mji uwe gofu..makamanda wameuwawa..watoto wamepoteza maisha..familia na baa la njaa limeingia kwasababu ya mateka tena wengine wamerudi wakiwa hai..huo ni ushindi gani?
@Kuseka1@mpenda_TANZANIA@ayubu_madenge Hamas ameshinda maana hamas wamekufa makamanda wachache sana na raia waliokufa pia palestina sio wengi..ni propaganda tu..israel wamekufa makamanda wakutosha na raia wa kumwaga achilia hilo miundombinu ya israel imeharibiwa vibaya mno..hivi sasa misaada inamiminika israel
@mpenda_TANZANIA@ayubu_madenge Umeaminishwa au ni ukweli...bila kuonyesha ubabe angepata wapi nguvu ya kukaa nao mezani..lazima ufosi..kaangalie gaza ilivyo sasaiv ndo useme kulikua na faida gan?
@Roma_Mkatoliki Kiufupi sasaivi. MBOWE AKIONGEA NI KOSA..AKIKAA KIMYA NI KOSA..AKIENDA POPOTE AKAONEKANA NI KOSA..UMAUTI TU NDIO KITU POSTIVE AMBACHO WAKOSOAJI WA MBOWE WATAONA HAPA SASA LIMEFANYIKA JAMBO SAHIHI KUHUSU MBOWE..Kinyume na hapo haiwezekani wameshampaka damu hawezi kupoma kwa fisi
@Roma_Mkatoliki Umeskia kokote wanaompinga mbowe wanazungumzia alichoongea kuhusu dira ya taifa?..ni kwasababu alichozungumza hakijai kwenye ajenda zao..ukitaka kujua ni ngumu kumfurahisha binadamu fuatilia wakosoaji wa mbowe..akienda harusini kosa! Akienda kanisani kosa..akikaa kimya kosa
@NoelKumbuaeli@HenryKilewo@godbless_lema The same people wametuhubiria kwenye kampeni kuwa mbowe ni mla rushwa tena kwenye uchaguzi alitoa rushwa infact wakasema alienda ikulu kulamba asali kipindi ni mwenyekiti..the same same guyz ambao walisema mbowe akiitisha maandamano anatoka na bintiye coz hana ushawishi kipi kipy
@godbless_lema We ni mmojawapo ambae ulisema jamaa anamakando kando mengi..sasa nashangaa nawewe ulietupa ushahidi wa makando kando na mengine ukasema hutaongea kwa kumtunziq heshima unashangaa misimamo ya mbowe like unasema unajua jamaa ni mwizi alafu akiiba unashangaa..i think hio haimake sns
@mclaving@godbless_lema@TunduALissu We umeangalia mahojiano yote..huyo jamaa anakurupuka tu kuja huku kwa kipande hiko..mbowe kaongelea chaguzi kaongelea vitu vingi vya msingi..ambavyo kwasababu isiyojulikana kwann havijadiliwi kwenye same ivent inajadiliwa yeye kusema sio msemaji wa chama chama kimeshatoa msimamo