@kabigwa_78 Sawa, ila ikitumika kwa uwingi inashusha pressure... ushauri wangu watu watumie kwa kiasi na sio kufanya ndo sheria...na watu wenye hypotension ndo hatari sana ukitumia/ukimeza vitunguu saumu.
@muddyngwire000@ajirapsrs kwani si kulikuwa na interview...sasa kama kwenye interview ujapita unalalamika nini?
pambana kwenye interview inayokuja uwe bora sana tuangalie kama utaachwa.
@mathiasdaud751@HusseinBashe Mahindi wananunua kwa bei gani kwa kilo?
na mbona huku mbinga hakuna kinachoendelea au agent wa serikali wanaonunua mahindi hawapo?
@AbdallahHilaly@ajirapsrs Update taarifa zako (current address) unapoishi sasa na sio ulipoombea. ili ikurahisishie katika usaili..means ufanyie sehemu uliyopo.
Update kwenye personal details sehemu ya current address
@BoraKafa@eastafricatv nakumbuka siku moja tumefika station ya Magufuli wakaaza kukagua ticket wakati wa kushuka... raia wakagoma munaleta usumbufu wakati tushakaguliwa tulikotoka..na watu tulikuwa wengi sana..basi wakafungulia bila kukaguliwa..Lakini kipindi cha kushuka watu wanakuwa wengi sana.