Kama hujawahi kukemea UTEKAJI huna haki ya kuwakemea au kuwashawishi vijana wasiandamane. Endelea kukaa kimya hivyo hivyo.
Wale waliowahi kukemea uovu huo wanaweza kusikilizwa. Ukinibishia; "Who are you?"
@LuhagaMpina@kilepi_tweve Kwahiyo adhabu ya kudai demokrasia ni kuuwawa kwa risasi????
Do you agree killing patriotic citizens is the only punishment???
Kuna wajinga wanalalamika eti CNN hawajaonyesha vituo vya mafuta na mwendokasi zilivyochomwa!!
ITV, Channel Ten na TV zingine mbona zimeonyesha sana, hamjatosheka tu?
Kama mnataka onyesheni na nyinyi hivyo vitu mnavyoona vina thamani kuliko uhai wa watu, mbwa nyie!!