The disappearance of SOKA, Frank, and Mlay after being taken by the police is deeply troubling and highlights a violation of human rights. Such actions create fear and undermine trust in law enforcement, as they go against the principles of transparency and justice...........
OFFICIAL STATEMENT REGARDING MY LAWSUIT AGAINST META.
Because this matter is now before the American courts, I have been advised not to comment publicly on the details of the case. My attorney is available to provide clarification and comment where appropriate.
Though I am only one person with limited resources, I am prepared to stand and fight giants.
If that fight means confronting powerful American technology companies over alleged deceptive and fraudulent conduct, conduct that I allege led to the suppression of evidence concerning the mass killing of thousands of protesters on October 29, 2025, as well as the suppression of information about kidnappings, forced disappearances, and the arbitrary imprisonment of government critics, the silencing of the media, illegitimate elections, and corruption in my native country, Tanzania, then I will fight with everything in me.
I expect Meta to come at me hard, a human rights defender facing a company with vast resources. But I do wonder what might look different if that same determination and those same resources were devoted to resisting foreign-government pressure targeting a United States human rights activist or, at the very least, if the public were given greater transparency and whole truth about how such foreign government requests targeting U.S. citizens are handled.
Californians deserve better. The American public deserves better. Tanzanians deserve better. The world at large deserves better.
I have done what I believe I must do. Now the matter rests in the hands of God and the American courts.
END OF STATEMENT
Link to the lawsuit : https://t.co/jFZM68ArrG
For those who may not fully understand how devastating Meta’s alleged actions were for the people of Tanzania, I’m sharing this link to CNN journalist Larry Madowo’s Instagram, where he speaks about it. https://t.co/kDLme0hkiQ
@LarryMadowo just won 2026 NABJ SALUTE AWARD FOR GROUNDBREAKING TANZANIA INVESTIGATION INTO THE OCTOBER 29 KILLINGS OF PROTESTORS.
"Niliwahi kumsikia Mwalimu Nyerere akisema vijana wanapaswa kuwa waasi dhidi ya mifumo kandamizi lakini sikuwahi kusikia amekamatwa kwa kauli hiyo" John Mnyika mahakamani
❤️ Deusdedith Soka
Two years since his abduction and I will never stop praying for you!
We ni kijana mzalendo na shupavu! Ulipigwa vita na magenge yote ya kifedhuli si polisi tu hata genge la Mbowe! Lakini ulisimama imara hadi siku wanakuteka! Kuna siku tutaongea mengi na kujikumbusha yote uliyotusimulia kuhusu manyanyaso yako ila kwa sasa tunakupambania hadi tujue hatma yako
Hatutachoka kukudai 🙌🏽🔥
#FreeDeusdedithSoka
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
UPDATE #Tanzania
Just resigned Vice PresidentnEmmanuel Nchimbi is under house arrest, his devices confiscated and Samia Suluhu is allegedly planning to charge him with treason
Instead of trying to de-escalate the already highly tense situation, she is escalating
This says a lot about her leadership and general discernment capacity
Things need to get worse before getting better!
#SamiaMustGo
Niliwaambia na ninawaambia tena maCCM na machawa kuna siku mtaelewa kazi hii mnayoita “kupiga kelele” ina manufaa gani
Uzuri kabla hajatekwa na kuwekwa kizuizini Nchimbi alionyesha kuelewa kuwa wanaharakati hatuna ubaya na tunatakia mema nchi yetu!
Sasa ni hivi Samia Suluhu - acha kuonyesha weakness na MWACHIE Emmanual Nchimbi
Najua unaogopa atatoa siri zenu kama Polepole ila ulitakiwa kuwaza haya kabla hukuanza vita hivi vya ndani! Nchimbi kumteka na kupanga kumpa uhaini ni UDHAIFU mkubwa na mwisho wako kimataifa hata wale uliokuwa unawaomba waje wakusaidie hawaji - unaji isolate kabisa!
Kesi tu ya Lissu imekulemea unatoa milio unaongeza na hii? 🤣
Tunasema Free all political prisoners na sasa Nchimbi amekuwa political prisoner wako kama Polepole huko CCM
Shida CCM mnakaa kimya kuhusu Nchimbi na ninyi mtafikiwa! Mzee Warioba ameshawaonya!
Nauliza tena kwa hiyo tukiondoa wastaafu, pamoja na Polepole na Nchimbi na Gwajima - huko CCM hakuna wanaume mmebaki? Maana mnaendeshwa na genge la wafiraji na makatili na mko KIMYA na kugonga meza! Shameful!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Siku nyingine ya kuwapa MAUA Wazee wetu, in no particular order:
Mzee Sinde Warioba.
Mzee Issa Shivji.
Mama Anna Tibaijuka.
Mzee Charles Kitima.
Mzee Jenerali Ulimwengu.
Mama Rosemary Mwakitwange.
Orodha ni ndefu, lakini, fahamuni, WE LOVE You All!
Huyu Jamaa KHALIFA SAID ni Muislamu, Ni moja ya watu wenye Msimamo, Ni moja ya Waandiahi wa Habari wasio na unafiki hata Punje, Jamaa hajawahi kaa upande mmoja na watawala.
Huyu Jamaa apewe maua yake wakuu, Tuseme kweli kwenye hizi Mada za siasa za Tanzania, Tusiingize Udini ili tusiwapoteze watu kama hawa.
1. GEN Z, LEO MMEKUWA VINDICATED! Mpaka wazee sasa wamejoin movement yenu ya kudai haki………
2. Kama hali hii itaendelea Tanzania basi nawahakikishia ndani ya 5-10 years itaibuka armed group Tanzania. Historia inakwambia hili……
3. Jeshi la JWTZ, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA - VIMETEKWA KAMA CCM ilivyotekwa……
OFFICIAL ANNOUNCEMENT TO THE WORLD
We, the Tanzanian people, do not recognize Samia Suluhu Hassan or Deo Ndejembi as the legitimate President and Vice President of Tanzania.
No legitimate election was held on October 29, 2025. Instead, what happened was a systematic campaign of mass killings, with more than 10,000 Tanzanians killed during a five-day internet shutdown.
Any government that recognizes these two individuals as the legitimate leaders of Tanzania is turning its back on the Tanzanian people and standing against their demand for justice, democracy, and accountability.
Those responsible for these atrocities must be held accountable. The blood of Tanzanians cannot simply be ignored, and the victims and their families must not be forgotten.
We call on the international community to stand with the Tanzanian people as we fight for:
A new, democratic Constitution
A genuinely free and fair election
An end to killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, and sexual torture
An end to the suppression and muzzling of the independent media
Full accountability and justice for the victims
Tanzania belongs to its people.
We will continue to demand democracy, freedom, justice, and a government that derives its legitimacy from the will of the Tanzanian people.
The world must stand with the people of Tanzania.
KISWAHILI
TANGAZO RASMI KWA ULIMWENGU
Sisi, Watanzania, hatuwatambui Samia Suluhu Hassan wala Deo Ndejembi kama Rais na Makamu wa Rais halali wa Tanzania.
Hakukuwa na uchaguzi halali uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Badala yake, kilichotokea ni kampeni ya mauaji ya halaiki yaliyopangwa na kutekelezwa kwa utaratibu, ambapo zaidi ya Watanzania 10,000 waliuawa wakati wa kukatika kwa intaneti kwa siku tano.
Serikali yoyote itakayowatambua watu hawa wawili kama viongozi halali wa Tanzania inawageuzia kisogo Watanzania na kusimama kinyume na madai yao ya haki, demokrasia na uwajibikaji.
Wale waliohusika na ukatili huu lazima wawajibishwe. Damu ya Watanzania haiwezi kupuuzwa, na waathirika pamoja na familia zao hawapaswi kusahaulika.
Tunaiomba jumuiya ya kimataifa kusimama pamoja na Watanzania tunapopigania:
Katiba mpya ya kidemokrasia
Uchaguzi huru na wa haki
Kukomeshwa kwa mauaji, utekaji nyara, kufungwa kiholela na mateso ya kingono
Kukomeshwa kwa ukandamizaji na kunyamazishwa kwa vyombo huru vya habari
Uwajibikaji kamili na haki kwa waathirika
Tanzania ni ya Watanzania.
Tutaendelea kudai demokrasia, uhuru, haki na serikali inayopata uhalali wake kutokana na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Ulimwengu lazima usimame pamoja na wananchi wa Tanzania.
Leo ilikuwa siku ya kazi ya chama na NCHI, Mjumbe kutoka Nyasa nimeshiriki kikamilifu kikao cha KAMATI KUU @chadematzofficial ✌🏾✌🏾
NB: Wadwanzi wote wanaoota, kutamani, kuwaza au kusema eti JONGWE ataondoka/kuhama hiki chama, kwa mara nyingine tena MATAKO YAO! 😎
#FREELISSU
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere.
Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria.
Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria.
Wakaloni walikua hawatoi rushwa.
Wakoloni weusi wanahonga kila mtu.
Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.
‼️HABARI MBAYA‼️
Nimejulishwa kwamba baada ya Nduli Idd Amin Mama kuona kwamba kesi ya mchongo dhidi ya Mhe. Lissu imemkalia kooni kwasababu ya pressure ambayo anaendelea kupata kutoka International Community.
Ameagiza Mhe. Lissu apewe sumu huko Gerezani ambayo itamuua taratibu then baadae waje waseme kwamba alipata shambulio la moyo ndo likapelekea umauti wake wakati anapatiwa matibabu.
Kwa tulipofika kama nchi, hatuwezi kupuuza taarifa yoyote hasa inayohusu Uhai wa mtu maana Nduli keshazoea kumwaga damu za watu, sasa kitu chochote kibaya kikimpata Mhe. Lissu Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake ndo watajua, hawajui.
Huyu Mungu hatakuacha hata siku mmoja.Binadamu hubadilika, lakini Mungu yupo constant. Huyu El-Roi, Mungu anayetuona na kutujua, alikujua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako, na anajua kwa nini ameruhusu upitie katika madhila haya yote.
Mimi naamini katika itikadi na misimamo unayoendelea kutufundisha, Chair hata ukiwa gerezani .Wanatupandikizia chuki, halafu wanatuuliza kwa nini tuna hasira. Wanatuumiza, wanatuteka, wanatutesa,wanatuua, halafu wanashangaa kwa nini tunamakasiriko.
Be strong, Chair. Wao wenyewe kwa wenyewe wameanza kugeukana, kusalitiana na kutoaminiana. Our day is coming. Tumelia sana, machozi yetu yamekauka; kilichobaki ni sauti zetu,na sauti ya umma haiwezi kuzimwa kamwe.
You are an innocent man, Chair. 500+ days in prison for nothing.
Endelea kuwa imara, Chair. Mungu yupo pamoja nawe. Siku yetu inakuja.
Endelea kuchangia harakati za kupinga uonevu . Changia Baraza Kuu.
☎️ 0744 44 6969
Jina: CHADEMA HQ
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali".
Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, Heche ameeleza kuwa vita inayoelekezwa kwake binafsi na kwa chama chake inatokana na msimamo wao thabiti wa kukataa kuwa mawakala wa unyonyaji.
“Hii serikali haipaswi kuwa madarakani siyo leo. Jana ilipaswa iwe imeondoka madarakani. Na ndio maana wanapoona watu hatutaki kufanya siasa za udalali tunapigwa vita kweli kweli,” ameongea Heche huku akiwataka wananchi kusimama imara na kukataa kuyumbishwa.
Heche ameeleza kuwa kukataa kwao "udalali" kumezua hofu kubwa kwa watu ambao amewataja kuwa wamekuwa wakimshambulia kwa maneno kila wanapopata fursa akisema, “Ukisikia kila siku waziri akitokea huku, ‘Heche tu, Heche, Heche!’... Kwa nini? Kwasababu tumekataa udalali. Sema kataa udalali!”.
TUJIELIMISHE ILI KUJISAHIHISHA.
KESI YA LISSU: HAKUSHINDWA BALI MAHAKAMA ILIAMUA KUWA ANA KESI YA KUJIBU HIVYO UTETEZI UNAFUATA.
Pamoja na kuheshimu uamuzi wa Mahakama, mimi ninaendelea kuhimiza busara na hekima zitumike katika ngazi zote za maamuzi ili taifa letu liondokane na jambo hili la kusikitisha. Tuweze kuambizana ukweli, kusameheana na kuridhiana.
Sizungumzii hatia au kutokuwa na hatia kwa Lissu; hilo ni jukumu la Mahakama. Ninazungumzia mazingira ya kesi hii, historia yetu na umuhimu wa sheria kutumika kwa usawa. Tutambue:
1. Kesi ya Tundu Lissu ina tofauti kubwa na kesi nyingi za uhaini zilizowahi kutangulia hapa nchini. Katika kesi hizo za kihistoria kulidaiwa kuwepo njama, washirika, mipango ya pamoja ya kuipindua Serikali, na katika baadhi ya kesi washirika kutoka jeshini na madai ya kupanga kumuua Rais.
Katika kesi hii Lissu ameshtakiwa peke yake, na kiini cha shtaka kinahusu kauli zake za hadharani. Hii ni tofauti muhimu inayostahili kutafakariwa bila kuingilia kazi ya Mahakama.
2. Lissu anashitakiwa kwa uhaini chini ya kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, kutokana na kauli alizotoa katika mkutano wa CHADEMA tarehe 3 Aprili 2025. Kaulimbiu yake ilikuwa “No Reforms, No Election.” Upande wa mashtaka unadai kwamba kauli zake kuhusu “kukinukisha”, kuzuia au kuvuruga uchaguzi zilivuka mipaka ya siasa za kawaida.
Kauli hizo ni kali. Lakini katika historia ya siasa zetu tumewahi pia kusikia kauli kali zaidi. Mfano wimbo maarufu: “Wapinzani tuwashike, tuwachanechane, tuwatupe.”
Hata Bungeni wimbo huo uliwahi kulalamikiwa lakini ikachukuliwa ni utani wetu wa jadi. Pia mitandaoni leo tunasikia kauli za kutishia watu, kuwaua au kuwapoteza bila hatua zinazoonekana kuchukuliwa kwa kiwango sawa.
Ndiyo maana wapo wananchi wanaojiuliza: Je, sheria inatumika kwa usawa kwa kauli za wanasiasa wa pande zote? Bibi yangu aliwahi kunikanya kuwa :Ukitania uwe tayari kutaniwa".
3. Lissu alitoa matamko yake hadharani au katika mikutano ya kisiasa. Wananchi wengi waliyasikia na wanayajua. Kwa hiyo, pamoja na kuacha Mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru, ni vigumu kuzuia mjadala wa wananchi kuhusu jambo ambalo liko hadharani na linagusa siasa, sheria na haki za kiraia.
Ili mradi staha izingatiwe na mjadala huo usibadilishwe kuwa hukumu ya hatia au kutokuwa na hatia kabla ya Mahakama kumaliza kazi yake.
4. Kama Mahakama ingelikuwa imeamua kuwa hakuna kesi ya kujibu, hatua ya utetezi isingefunguliwa. Sasa Lissu ameomba kuwaita baadhi ya viongozi wakuu, akiwemo Rais Samia na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama, kutoa ushahidi.
Historia ya nchi nyingine inaonyesha kuwa jambo la Rais aliye madarakani kutoa ushahidi katika shauri la jinai lina utata lakini si geni kabisa.
Mwaka 1807, katika kesi ya uhaini ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani Aaron Burr, Burr aliomba ushahidi kutoka kwa Rais Thomas Jefferson, bosi wake. Jaji Mkuu John Marshall ndiye alikuwa muamuzi na alikataa "dhana kwamba Rais ana kinga ya moja kwa moja dhidi ya mchakato wa Mahakama pale ushahidi wake unapohitajika katika kesi ya jinai".
Jefferson hakulazimishwa kusimama mwenyewe kizimbani, lakini alitoa ushahidi kwa nyaraka na kanuni muhimu ikawa: hadhi ya Urais haimaanishi kwamba ushahidi muhimu kwa mtuhumiwa hauwezi kupatikana.
Baadaye, Marais wengine wa Marekani wamelazimika kutoa ushahidi au taarifa katika mashauri ya jinai inapohitajika. Ni pamoja na:
James Monroe — 1818
Ulysses S. Grant — 1876
Gerald Ford — 1975
Jimmy Carter — 1978
Jimmy Carter tena — 1980
Bill Clinton — 1996
Richard Nixon mwaka 1974 aliamriwa kutoa kanda za Watergate.
Mara nyingi ushahidi huo ulitolewa kwa maandishi, nyaraka, viapo/deposition au video badala ya Rais kufika mwenyewe mahakamani.
5. Hakika Hatua inayofuata katika kesi ya Lissu ni nyeti. Itatuonyesha mwanga katika masuala haya muhimu kuhusu utawala wa sheria na haki ya mshitakiwa kupata utetezi stahiki.
6. Kiuhalisia Wengine tumejikita kwenye swala la HEKIMA, BUSARA na HURUMA YA MUNGU.
Kuna habari nimeipata ila kwa vile sina evidence ya 100% basi sitotaja majina directly ila issue iko hivi, JK has come up with a plan ya kuitawanya Chadema kama alivyofanya kwenye Urais wake kwa kuanzisha ACT Wazalendo na kimama kaanza kuitekeleza plan hii.
Abdul na mama yake kwa sasa wanafanya big financial investment kwa viongozi wa Chadema kupitia business mpya.
Nimeambiwa Kuna Bank inaitwa Bank M itatangaza kufilisika kisha watainunua wao kina Abdul kama taasisi ya pesa yenye leseni, watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Wanajipanga kufungua bank ya kifisadi ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi endapo USA wanaweka sanctions kwenye mfumo wa fedha, inorder to by pass possible coming sanctions. Wanatengeneza hiyo shadow banking network and some viongozi wa Chadema wamepewa shares kwenye huu uharamia ili kusaliti wananchi……
Bank M iko chini ya mfilisi ila soon Bank M itakuwa activated with “foreign owners” na itakuwa foreign bank yenye wateja TZ. Hao “foreign owners” ndio mpaka some viongozi ndani ya Chadema wako. Kuna kiongozi mmoja ndani ya Chadema huyu mpaka katoa maelekezo kuwa hii bank iwe na HQ nchi flani.
Nimeambiwa Mbowe keshaanza kujenga majengo Dodoma ambayo atawakodishia hii bank.
Yani its a network made up of some viongozi wa Chadema wakishirikiana na wauwaji wa October 29. Yani CCM wamekubali kula na viongozi ndani ya Chadema ili mradi haki isipatikane Tanzania.
Naomba kila mtu asave hii posti coz kuna siku nitarudi ku refer to this post. Please save this post.
My G @TitoMagoti ni sehemu ya mawakili waliofungua kesi mahakama kuu kupinga mawakili wa viti maaulumu i.e ambao hawajapita na kufaulu Law School
Kama itaamuliwa kwa matakwa ya kima Tito, mwanasheria mkuu wa sasa anaweza kukosa kazi hivyo kushindwa kukamilisha ahadi yake ya kumleta Mange Kimambi
Chadema sio tu kwamba ni kikuu cha kisiasa Tanzania.
Chadema ni imani ya Watanzania.
Asanteni Sirari kwa mapokezi ya heshima kubwa.
Endelea kuchangia chama.