Mbeya is a little cold if you are from warm regions, but nothing matches its greenish beauty and the people’s welcoming hospitality. We have daily flights to this beautiful City.
https://t.co/sH3RTTC575
#FlyAirTanzania#TheWingsOfKilimanjaro
Kwani sasa umejuaje bila ya wao kutangaza kwenye media, au unaishi ikulu ya Kenya? Mbona Watanzania hamna zuri wala mbaya? mnajadili tu kulingana na upepo
@SerengetiPost Hiyo ingekuwa inajengwa Dar tungepata matangazo mpaka chooni kwetu. Hata maiti zile pale makaburi ya kinondoni zingesikia. Viongozi wote waserekali akiwemo msemaji mkuu wa serekali ndio ungekuwa wimbo wao huo.
@DgMkusa@MankindUwezo@tzbranding Mkuu Mbona unanishambulia kwa lugha Kali Sana, soma hii taarifa kupitia Link hii kwa uelewa zaidi👇
https://t.co/eMR5NAYYd6
Pipa lazima likuhusu safari hii! Happy Hour imekuja tena na sasa utasafiri kwenda Mwanza au Bukoba kwa Tsh 180,000 tu kati ya Nov 18, 2020 - Jan 31, 2020. Kata tiketi katika tarehe tajwa hapo juu na tusafiri pamoja kwa bei chee! #YouAreWhyWeFly#TukutaneAngani
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mh, Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa kwakwe kwa awamu ya pili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa ushindi wa Kishindo katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28/10/2020. Mungu amsimamie.
@hpolepole@MagufuliJP Hakika Mh JPM namuelewa saana, Mipango yake wakati wote inastaajabisha kwa furaha isiyokifani. Mwenyezi Mungu amjalie Maisha marefu, afya njema na Hekima Tele.