Leo, watanzania na wapenda haki wameungana kwa pamoja katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na Bunge la Ulaya lisitishe misaada na kutoa visa kwa maofisa wote wa Serikali haram ya Tanzania.
#SamiaMustGo
Mke wa Mh. Tundu Lissu leo, aliungana na watanzania na wapenda haki katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na bunge la ulaya lisitishe misaada na kutoa visa kwa maofisa wote wa serikali
Leo, watanzania na wapenda haki wameungana kwa pamoja katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na bunge la ulaya lisitishe misaada na kutoa visa kwa maofisa wote wa serikali.
REPOST 500
#SMG#SamiaMustGo
#TUTAKUWEPO🫵😎
List ya Watakao wekewa Order ya Kukamatwa na ICC
1..Pual Makonda
2...Samia
3...Mafwele
4...Murilo.
5...Abdul
6..Chalamila
7..Mapete
8..Simon Sirro
9..Kheri James
10...Mwigulu
11..Ally Happy
12...Tax
13..Nkunda
14..Magoti
15..Msajiri wa Vyama vya Siasa
Ongezaa👇👇
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 12
Anaendelea Mhe. Lissu
Tatu. Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Dodoli Kapufi ilisema nini kuhusu kifungu cha 183?
Jaji Chande alisema in essence that section is deal with trial not deal with Committal. Section inayodeal na committal ni S. 261.
Nimemaliza na hiyo niendeleee na kesi yao nyingine.
Hii nayo imeletwa bure kabisa.😂
Sasa Waheshimiwa Majaji naomba nishughulike na JOB MREMA.
Huyu Katuga nimemaliza nae.
Anasimama Katuga anasema kifungu cha 187 hajakisemea.
Mhe. Lissu anasema nawashukuru sana Katuga. Ngoja nije hapo.
Hicho cha 187 trial at a place where act done.
Hii section is about trial na section about committal is 262, 263 hadi 265.
Hivyo basi kama ambavyo sect. 183 ilivyo irrelevant basi hata section 187 nayo ni hivyo hivyo haihusiki hapa tunazungumzia committal. Tofautisha Committal na trial.
Sasa nirejee kwenye suala la Mashahidi. Nalo lilizunguzwa na Mrema na nimesema naanza kushughulika nae.
Suala la Mashahidi wangu kutokuandikwa. Walilizungumza.
Katuga anasema hawakuitwa na kuandikwa wanaweza kuandikwa baadae hakuna tatizo. There is no prejudice.
Wakili Mrema pia alisema Mshitakiwa alishauriwa kuwa majina ya mashahidi atakuja kuwasema mahakama kuu. That one was premature kwahiyo hamna shida.
Waheshimiwa majaji naomba niwaonyeshe jinsi ambayo hii nayo ni shida kubwa.
Mashahidi kutokuandikwa kwenye commitall proceedings.
Ipo hivi Waheshimiwa majaji, Mshitakiwa ana haki ya kutamka majina na anuani ya mashahidi wake wakati wa committal maana asipoitumia inabaki fadhila ya mahakama.
Kwenye committal nilikuwa na haki ya kusema mashahidi wangu na anuani zao. Kwenye mahakama hii ni descretion yenu sio haki yangu tena.
Mnaweza kuamua au msiamue sasa niwapeleke kwenye sheria.
Kifungu cha 264 cha CPA ndo kinatoa haki kwa mshitakiwa kutaja majina ya mashahidi wake wote.
Nikisema nina mashahidi wewe Hakimu KISWAGA huwezi sema nitawasemea mahakama kuu, unapaswa kuandika.
Hilo halikufanyika.
Mawakili wa serikali wanasema ni premature, unaweza kuita baadae, sasa hiyo baadae iko kifungu cha 281 na 314 ya CPA. (Kumbukeni CPA ni Criminal Procedure Act - Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai)
S. 281 inasema hivi msajili wa mahakama kuu ataandaa wito kwa mashahidi wote ambao orodha yao ipo. Registrar/ msajili anatoa summons/wito kwa hao uliowataja. Kinasema hivyo.
Sasa kama hujataja nini kinapaswa kufanyika ndio S. 314 inaingia hapo. Kinasema hivyo mtuhumiwa hawezi kuwa na haki ya kuita mashahidi wake ambao hawakuwa kwenye orodha yake labda mahakama ijiridhishe kuwa kuna umuhimu wa mashahidi hao kuitwa.
Sasa hii ni fadhira ya majaji haki yangu nimesema ilikuwa Kisutu.
The accused person shall not be entitled to call witness without approval au consent ya majaji sasa kuna prejudice kubwa kuliko hiyo kunyang'anywa mashahidi wangu.
Haya maneno ya kwamba naweza kuwaita baadae ni maneno ya watu wenye nia mbaya sana na mimi.
Wanasema mambo ambayo sheria haiyatambui na kuyakubali, naomba waheshimiwa majaji msikubali jambo hili.
Sasa Job Mrema alisema majaji mnapaswa mjiulize hili pingamizi kama liko sawasawa mbele ya mahakama hii.
Na alilisema jambo hili kwa mbewembwe kabisa.
George Abdon Kilinga na wenzake vs Anna na wenzake ni mashauri ambayo aliyaleta hapa.
Kwanza hii ni kesi ya mirathi ilianzia mahakama ya mwanzo, ikaenda mahakama ya wilaya ya Babati ambayo iliamua kwamba wadaaawa wataamua watumie sheria gani? Mahakama kuu rufaa ya pili sasa Madam Justice alisema parties can not by agreement confer jurisdiction to a Court.
Wadaawa hawawezi jiamulia kuipa mamlaka mahakama hii kwasababu suala la jurisdiction (mamlaka) ni suala la Jaji.
Kwenye kesi yangu sasa Mshitakiwa anasema alikuwa committed na mahakama ambayo haikuwa na mamlaka.
Part 13 itaendelea kwenye post inayofuata
Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali
Kwanini EFM wamefuta video hii?
Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa?
Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Alongside the Platform for African Democrats, we stand in unwavering solidarity with @TunduALissu and call for his immediate and unconditional release. His ongoing persecution sends a deeply troubling message about #Tanzania's lack of justice and democracy. #FreeTunduLissu
Nimeota Mtu mmoja amekuwa Rais ,kawapeleka gerezani wabunge wote waliopo, Mali zao kawafilisi kwa madai analipa deni la taifa ,deni lililobaki akawaambia wakazalishe pesa wakiwa gerezani, likiisha atawaacha huru .
Huyu mzalendo ni nani ? 😭
KABLA UJALALA AMBIA
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
SAMIA MUST GO!
JUST RETWEET!
Jina:Tundu Antiphas Lissu
Elimu: Masters Degree ya sheria (Alisomea hakupewa Kama zawadi)
Majukumu yajayo:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Saba.(Atachaguliwa sio Mrithi)
Kazi ya Sasa:Kuyapelekea Moto MaCCM.
HUYU NDIYE SIMBA!TAL🔥
Serikali ya Tanzania katika bajeti ya 2025/26 imependekeza kuanzisha tozo mpya kwa magari yanayoingizwa nchini pamoja na mitambo mikubwa.
Bajeti hiyo imesomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, kwamba magari yote yanayoagizwa kutoka nje yatatozwa kulingana na ukubwa wa injini.
Hatua iliyochukuliwa na Serikali inalenga kuongeza mapato ya ndani (kukusanya kodi) na kudhibiti uingizwaji holela wa vyombo vya moto.
Magari yenye ukubwa wa injini kati ya 0cc hadi 1000cc yatatozwa kiasi cha Sh50,000, yale ya 1001cc hadi 1500cc yatatozwa kiasi cha Sh100,000.
Magari yenye injini ya kuanzia 1501cc hadi 2500cc yatatozwa Sh150,000. Magari makubwa injini ya 2501cc na kuendelea yatatozwa Sh200,000.
Mitambo mizito; excavator, bulldozer na forklift chini ya vichwa vya ushuru 84.29 na 84.27, vitatozwa Sh250,000 kwa kila kifaa kinachoingizwa.
TUJADILI…
Mnatakiwa kushawishi kampuni za kutengeneza magari na vyombo vya moto wafanye assembling Tanzania. Mtapata kodi yenu halali kabisa.
Gari zilizoshushwa katika meli 9 April 2022 bandari ya Dar es Salaam, gari 1,105 (27%) ya mzigo ulioshushwa bandarini zilibaki Tanzania.
Gari 2,936 (73%) zilikwenda nchi jirani ambazo zinatumia bandari ya Dar es Salaam (Sudan, Zimbabwe, Mozambique, Malawi, Zambia).
Mkurugenzi Mkuu wa TPA anasema, April 5 hadi April 7 (ndani ya siku 3 tu) bandari ya Dar es Salaam ilipokea meli nne (4) zenye jumla ya magari 8,384
Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) anasema hii ni (ukilinganisha na takwimu za mwaka 2021, walikuwa wakipokea gari 10,000 kwa mwezi mmoja).
SERIKALI imeamua kuifanya nchi yetu soko la magari mtumba (used cars) kwa sababu ya kupenda tozo na kodi. Akili zao wamezifinyia ndani.
Gari ambayo utaagiza kwa $4,175 (Sh10.98 milioni) utalipa kodi sawa na gharama za uagizaji. Kodi ya kuagiza ni sawa na gharama za kununua gari.
Serikali katika gari ambalo mteja ananunua, haiweki spare tyre au bolt au maji ya wiper lakini wanachukua kodi sawa na bei ya kuagiza
Huu ni WIZI na UJAMBAZI. Ndiyo maana nafikiri ni wakati sahihi sasa kampuni za magari kuwekeza viwanda vya kuzalisha magari yao Tanzania.
Kenya imetengeneza sera - National Automotive Policy (NAP) ya mwaka 2019 ili kuimarisha sekta ya utengenezaji magari ndani ya Kenya…
Kenya inataka kuongeza uzalishaji na usanifu maradufu kufika 2025, pia kupunguza utegemezi wa magari mitumba (used cars) kutoka nje.
Kenya inataka kuuza magari - Afrika Mashariki, eneo ambalo ni soko kubwa (jalala la taka) la magari mtumba (used cars) kutoka Europe na Japan.
Sekta hii ya kutengeneza na kuuza magari imeweza kutengeneza ajira zaidi ya 100,000 (direct) na ajira (indirect) kwa wananchi wa Kenya.
Sekta hiyo pia inachangia takribani Ksh30 bilioni (Sh610.81 bilioni) kwa mwaka kwa serikali ya Kenya kupitia mapato halali ya ushuru na kodi.
Kenya wanafikiria vitu hivyo, serikali ya CCM inamuagiza msemaji wake afanye press, kuwatisha wanaoandika NO REFORMS, NO ELECTION..
kutengeneza na kuuza magari imekuwa nguzo ya ukuaji uchumi wa viwanda na kichocheo cha ukuaji uchumi na maendeleo ya kiteknolojia.
Serikali ya Tanzania inatakiwa kuwekeza akili huku siyo kupendekeza kuanzisha tozo mpya kwa magari yanayoingizwa na mitambo mikubwa.
Associated Vehicle Assemblers (AVA) ni kampuni kubwa ya kutengeneza magari Kenya. Wamejenga viwanda vya uzalishaji magari nchini Kenya.
Kampuni inafanya kazi kwa chapa kama MITSUBISHI, SCANIA, TATA, HINO na TOYOTA. Awali ilikuwa ikitengeneza magari ya PEUGEOT, FIAT, IVECO na VOLVO
Kampuni ya (AVA) Ilichukuliwa na Simba Corporation 2017 kwa ubia na Marshalls East Africa na kukarabatiwa kwa Ksh4 bilioni (Sh81.19 bilioni).
Mwaka 2022 pekee yake walifanikiwa kutengeneza magari 7,500. AVA inatengeneza magari ya TOYOTA na MAHINDRA kiwanda cha Mombasa.
Mwaka 2021 kampuni hii wametangeneza magari 300 kwa ajili ya Polisi Kenya kwa Ksh2.5 milioni (50.76 milioni) na kutengeneza daladala (matatu) 3,600.
Associated Vehicle Assemblers (AVA), 2022 wakatengeneza magari 132 ya MAHINDRA kwa Polisi Kenya. Magari yote hayo yanaundwa nchini Kenya.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Kenya - Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) inaeleza kwamba magari yanayotengenezwa nchini Kenya yameongezeka
Idadi ya magari yaliyotengenezwa Kenya iliongezeka kutoka magari 3,241 mwaka 2018 kufikia magari 4,406 mwaka 2019, hii ni kati ya miezi ya Januari na Julai.
Kenya imeagiza Taasisi na idara za serikali kununua magari kutoka ndani kupunguza gharama za uagizaji kwa matumizi ya serikali kutoka nje ya Kenya.
Hii pia ni nzuri katika uhamisho wa ujuzi (skills transfer), katika suala la kuunda ajira kwa watu wao na katika kuunda fursa mpya (creating new opportunities).
Wananchi wa Kenya wananufaika. Kwa namna gani? Kuna watu ndani ya Kenya wanatengeneza brakepads, windscreen, suspensions & shock absorbers.
Wote watapata ajira katika viwanda au kuuza ujuzi wao. Watauza mipira kwa ajili ya magurudumu ya magari. Wakulima watalima zao la mpira (Hevea brasiliensis).
Mpira ni zao la kimkakati Tanzania linalotumika kutengeneza matairi, viatu na gloves. Mahitaji ya soko ni 99.7% kwa sasa mauzo ya zao hilo ni 0.03% pekee.
Kama tunaweza kuwashawishi wenye viwanda vya magari kuwekeza Tanzania, wakulima wetu hawajanufaika? Akili mtu wangu. Akili. Akili.
RENAULT wanaunda K-Range heavy-duty trucks. Walitumia Ksh58 milioni (Sh1.174 bilioni) kufanya maboresho ya uzalishaji wao eneo la Thika, Kiambu.
Hii ni sawa na pesa ambayo imetumika kukarabati ofisi za Makamu wa Rais Dodoma na Dar es Salaam. Acheni kujipendelea. Acheni ubinafsi. Tuwafikirie wananchi.
Machi 26, 2025 Donald Trump alitia saini tangazo la kutumia Kifungu cha 232 cha (Trade Expansion Act of 1962) - Sheria ya Upanuzi wa Biashara ya 1962.
TRUMP alitia saini kuweka ushuru wa 25% kwa uagizaji wa magari na sehemu fulani za magari, kushughulikia tishio kubwa kwa usalama wa taifa la Marekani.
Kulinda tasnia ya magari ya USA, ambayo ni muhimu kwa usalama na imedhoofishwa na uagizaji unaotishia msingi wa viwanda USA na minyororo ya usambazaji.
Mwaka 2024, raia wa USA walinunua magari milioni 16, Sport Utility Vehicle (SUV) na lori nyepesi, na 50% ya magari haya waliagiza kutoka nje (milioni 8).
Serikali ya CCM inaaanzisha tozo kwa magari yanayoingizwa nchini wakati hakuna kiwanda cha utengenezaji wa magari ambacho wanakilinda.
Hakuna raia ambaye wanamlinda, zaidi sana wanataka kuongeza mzigo kwa raia wa kawaida ambaye anataka kununua gari kwa matumizi yake binafsi. Uduanzi.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.