Rafiki unayelewa nae , ametoka kununua kiwanja na amesema tusikwambie...
Huyo shoga yako mliopanga msiolewe mle ujana kwanza ,
Jana ametembeza sare ya harusi yake , na amesema tusikushirikishe...
Mshkaji anayekushauri umpe takala mke wako , amepiga goti muda huu akiinusuru ndoa yake dhidi ya mke anayedai talaka yake...
Rafiki yako anayekushauri muache kazi , anaenda kuwa mkurugenzi kwenye kampuni ya baba yake...
Bff wako aliyekushauri utoe mimba , amejifungua watoto mapacha na bado ana mpango wa kuzaa tena...
Yule kijana uliyemfanya kuwa adui yako , rafiki yako amemfanya kuwa rafiki yake anayeshare nae mpaka siri zako...
Nataka kusemaje ? kwenye hii dunia ya unafki na usaliti , chunga watu wanaokuzunguka wasikuzunguke...
#TajiriLaKihaya
Daslam bhanaโฆ
Manzi yako inaweza kupigia Video call saa nne usiku kwamba inalalaโฆ
Na ikalala kweliโฆ kumbe imeseti ALARM saa saba usiku inatoka kwenda Club๐คฃ๐
Na ukipiga usiku huo hapokeiโฆ asubuhi anakuambia alikua amesinzia๐
Kuna kipindi nliachana na michepuko yangu 6 kipindi hicho ndani ya Usiku mmoja!
Nlipiga doria matata saana kuanzia saa saba usiku hadi tisa.
Samaki samaki, wavuvi kempu, The Uncles,The Link,Tips nk
Kipindi hicho Amell na the voice hazipo..
Nlikua napita meza hadi mezaโฆ
Nkikupata nachukua ufunguo wa Apartment roho safiโฆnguo zako bolt atazifanyia deliveryโฆ
Maana kipindi hicho nlikua nawapangiaa full furnished apartment- unakuja tu na nguo ๐๐ฝ
Daah maisha haya!
Now nmeokoaโฆ
Kuna watu tutaingia motoni tukilalamika sana.
Imagine mtu kama mimi sina gari,
Sijawahi kutomba mzungu.
Sina hela.
Sijawahi miliki ata million 5
Sina mke wala mtoto.
Sina nyumba
Na GPA ya kawaida sana.
Sijawahi fika ata Iran.
Afu nachomwa moto sawa na Mo dewj au alon musk
Mademu wengi hupenda kusema
๐ฃ๏ธMimi sipendi mwanaume anayependa kuji-show off ana hela, ana magari, majumba, ana this and that sipendi mwanaume mwenye masifa sifa wa hivyo siwezi kuwa naye na sio type zangu!!๐
Lakini unashangaa demu huyo huyo anakuja kutafunwa na mwanaume wa hivyo hivyo mwenye show off๐
Unashangaa demu aliesema hivyo anakuja mzalia mwanaume huyo huyo mwenye masifa.
Unashangaa anakuja ku-date na huyo huyo aliyesema ana majumba na magari!!
Unashangaa mwanaume mwenye showoff ndio anaetafuna bebez wengi hadi waliosema hawapendagi!!
Girls bana ๐ฅน
@emabilly2001 Wakati najitafutia ujuzi wa mambo ya global financial markets. Niliwahi ku join group lake la whatsapp. Kuna mtu akanitacheki dm Na kuniambia mchezo wake. Kumbe na yeye ni muuza ma roboti na anawapiga watu hela balaa.