@godbless_lema Hamna sera yeyote mnategemea kupewa madaraka na nchi za Ulaya, aibu yenu. Mkajipange upya mrudi tena 2030 kwenye sanduku la kura na sera zenye kueleweka na sio kususia uchaguzi kila wakati vinginevyo mmepotea njia
Mwanasheria nguli mlikua mkiita Mwalimu wa sheria leo mnaogopa Mahakama mnataka aachiwe bila sheria kufuata mkondo wake! je hii ndio demokrasia mnakaousema mtaimarisha! iwachieni muhimu wa Mahakama ifanye kazi yake ndio, aibu yenu.
@godbless_lema@YouTube Mbadili kiwe chombo cha kidini na sio chama cha siasa! sababu kwa jinsi mlivyoanza hamchelewi kususia uchaguzi tena itakapofika 2030
Misifa kibao bila sera, mikutano yote huwa unajaza watu hata muuza dawa akisimama sehemu kuuza dawa watu wanakaa, muhimu ni sera msije tena kususia uchaguzi ifikapo 2030 kwenye sanduku la kura
Chadema ipo kazini,wale waliosema chama kinaelekea kudedi wanaumia sana wakiona hivi.Hili Trela,picha bado.
Tuendele kuchangia harakati za kupambania haki,katiba mpya na utawala wa kisheria.
Changia chama chenu kupitia Namba:0744 44 69 69 Jina CHADEMA HQ
Watu wa Arusha Mungu awabariki sana.
Hapa ni safari ya kumsindikiza muasisi na Mkiti wa kwanza wa Chadema wilaya ya Mbeya mjini Mzee Simbeyanje ambaye ametangulia mbele za haki.
Tunamshukuru sana yeye na wenzake kwa kuifikisha chadema mahali pazuri na kuifanya kuwa Imani watanzania ,Mungu ailaze roho yake peponi
msijaribu kupotosha watu tume imesema kuna picha zinginezo sio za hapa nchini ni za Gaza na sio kwamba hakuna picha za hapa nchini! labda kama mnataka kuendelea kujaribu kuchochea machafuko mengine tena
Kama kweli wanamapenzi na chama basi chama ndicho kinachowaangusha kwa kususia uchaguzi kila wakati, ushauri mkajipange upya mrudi tena 2030 na sera zenye kueleweka kwenye sanduku la kura
@IkindaKani11826 Mnarukaruka kwa kukosa sera ikifika wakati wa uchaguzi mnaingia mitini, ushauri wangu mkajipange upya mrudi tena 2030 na sera zenye kueleweka na sio kususia uchaguzi kila wakati, aibu yenu.
@godbless_lema Muungano wa vyama ndio uliwapa Chadema umaarufu wakati wa Ukawa leo ntashangaa sana mkiviponda, bila vyama vya upinzani kujiunga CCM itaendelea kuongoza nchi hii kwa mda mrefu Sana, na mjifunze nchi jirani kama Zambia, Malawi na Kenya kwani muungano wa vyama ndio uliosaidia
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimejipanga kulinda heshima na imani ya waasisi wake kwa kuhakikisha kinafikia lengo kuu la kushinda mamlaka ya nchi kupitia njia ya kidemokrasia.
Akizungumza na waandishi wa habari katika viunga vya Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe, Mwenge, mara baada ya ibada ya kumuaga aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu (Bara), Medard Mutungi, Heche amesema kifo hicho ni pigo kubwa kwa kuwa kimefuata muda mfupi baada ya kuondokewa na muasisi mwingine, Mzee Edwin Mtei.
“Tumekuja kumuaga mzee wetu Mutungi. Katika mwaka mmoja huu, tumepoteza waasisi wawili wakubwa; Mzee Mtei pamoja na Mutungi. Hii inaakisi historia ya uanzishwaji wa chama chetu ambacho kiliundwa na wasomi wa kiwango cha juu, wafanyabiashara, na watu waliotaka mabadiliko ya kweli nchini,” alisema Heche.
Heche alibainisha kuwa kutokana na uzito wa msiba huo na heshima ya kiongozi huyo, CHADEMA imelazimika kuahirisha vikao vya Kamati Kuu vilivyokuwa vikiendelea ili kutoa nafasi kwa uongozi kushiriki kikamilifu katika mazishi hayo.
“Sisi tuliofikishiwa kijiti cha madaraka baada ya wazee hawa, ahadi yetu kwa Watanzania ni kuhakikisha tunafikia malengo na madhumuni ya uanzishwaji wa chama chetu. Lengo ni kushinda mamlaka ya nchi kidemokrasia, na sisi imani hiyo tutailinda kwa dhati kabisa,” alisisitiza Heche.
Makamu Mwenyekiti huyo alihitimisha kwa kutoa pole kwa familia ya marehemu Mutungi na wanachama wote wa CHADEMA, akimtakia muasisi huyo mapumziko ya amani.
Chande/Kabudi.
Huu ni ushahidi vijana wakitengeneza mabomu, wakiwa na bunduki na wakifanya mazoezi ya kupindua nchi.
Hatutaacha kusema wala kufukua makaburi baada ya kugundua dhamira yenu sio amani bali kuwafunga midomo wanaopigania "amani na uhuru" wa kweli wa nchi yetu.
Hiki chama ni mpango wa MUNGU kwa watanzania.
Vuta picha zama hizi za GIZA wao wameamua kusimama upande wa WANANCHI. Wamepitishwa nyakati ngumu kwa msimamo wao huo lakini bado wamesimamia imani yao.
Ndiomaana watanzania hawaoni shida kutoa buku buku zao kukiendesha chama CHAO ambacho kimeamua kusimama upande wao.
Na hiki ndio kinawatesa WAKOLONI WEUSI. HAKUNA hata mtu mmoja anaewasikiliza wakoloni weusi—ila CHADEMA inasikilizwa kwa wivu mkubwa sana.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—hiki chama kimeamua kukataa kuketi meza yenye DAMU za ndugu zetu kwa kile kinaitwa “Maridhiano”, hii ni heshima kubwa sana tumepewa watanzania.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—maana hiki chama kinapoteza viongozi wao na wanachama wao kila kukicha kwa KUTEKWA kwasababu ya msimamo yao ya kudai haki za watanzania.
Tuendelee KUFANYA IBADA YA KWELI kwa kuichangia “CHADEMA NA TONE TONE” ukombozi unakuja.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tume ipo sahihi kabisa nyie ndio katika waliochochea machafuko, eti tunataka kichwa chako! yaliyotokea Oct 29 hayatoweza kujiruduia tena mnajidanganya bure, mkajipange upya mrudi tena 2030 na sera zenye kueleweka na sio kususia uchaguzi kila wakati, aibu yenu
Nyalandu sisi wajukuu wako tunataka kichwa chako na damu yako na tutafanikiwa. Popote ulipo tambua tu tutakupata utwambie nani aliua ndugu zetu. Tutafanya nini majibu unayo. Pole sana kwa mke wao na watoto.
#MO29Revenge
Tamko Kali kwa nani! mshapoteza mwelekeo ndio sababu mnatapatapa hamna sera, wajinga mliowapata Oc 29 hawapo na hawatakuwepo tena, mkajipange upya mrudi tena 2030 na sera zenye kueleweka na sio kususia uchaguzi kila wakati, aibu yenu.
@IkindaKani11826 Mliyokua hamna sera mnahangaika na vitu vidogo vidogo visivyokua na misingi ikifika 2030 mnapanga tena kususia uchaguzi sababu mmepoteza mda mwingi kwa mambo yasio na msingi, aibu yenu