Je, unaweza kutoa ajira kwa mtu mwenye mahitaji maalum (ulemavu) kama vile kiziwi, kipofu nk kama mtoa huduma katika biashara yako?
Shirika lisilo la kiserikali (NGO), See Ability First International (SAFI) lililoko Arusha katika kuboresha maisha ya ndugu wenye mahitaji maalumu limeanzisha mghahawa maalumu ambao unaendeshwa kitofauti kidogo.
Wahudumu (wote?) wa SAFI cafe iliyoko Usa-River, Arusha ni mabubu (no offense) na wanatoa huduma kwa ukarimu mkubwa mno. Ukarimu ambao umekuwa adimu katika maeneo mengi ya biashara. Mawasiliano kwao sio kikwazo. Shirika hili linaona uwezo wa mtu kabla ya kuona ulemavu wake. Uzoefu huu umebadili mtazamo wangu juu ya maisha !
Kimsingi, kila huduma unayopata kwenye mghahawa huu unakuwa umechangia kuboresha maisha ya ndugu hawa ambao wengi wanaachwa kando na mifumo ya ajira kwingineko.
Sifa zimuendee mwanzilishi wa mradi huu!
Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja wanakuja machawa kutushambulia kwa propaganda za kashfa za uongo. Kwa nini hamupeleki tuhuma hizo nzito mahakamani? Miaka nenda, miaka rudi? Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki, ukweli misingi ya amani na maslahi mapana ya taifa na mustakabari wa vizazi vijavyo. Jamii inayojielewa inatambua hamjui mtendalo. KAJISAHIHISHE
Unemployed at 23.
Broke at 25.
Starting over at 27.
Millionaire at 30.
Donโt underestimate what God can do in your life.
Philippians 4:13. https://t.co/rGrLBm3GOv