Hii ni kiasi cha eneo la ardhi lililofunikwa na misitu asilia au iliyooteshwa katika nchi tofauti za Afrika Mashariki. Haijumuishi miti zilizo katika mifumo ya uzalishaji wa kilimo kama vile mashamba ya matunda na miti katika bustani
. @MsigwaGerson eleza, ndege iliyokuwa inashikiliwa Netherlands, imeachiwa baada ya serikali kulipa $165M (Sh403.2bn). EcoEnergy Group walitaka fidia ya $500M (Sh1.2trl). (ICSID Case No.ARB/17/33) Mkataba wa EcoEnergy aliingia Kikwete, akauvunja JPM, amelipa fidia SAMIA. TATIZO.
Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua, kupoteza & kutesa Watanzania wengine. Lipa haki zangu & za wengine ndio utuwekee mabango!
#HABARI Mwalimu Emmanuel Chacha maarufu kama Dizzo, (Pichani) amefariki kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzie Samweli Subi akiwa katika usimamizi wa mitihani ya KKK ya darasa la kwanza katika shule ya msingi Igaka nkoani Geita
KUMBUKUMBU KIFO CHA JPM.
#UZI.
Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda selo namba 17. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari kuashiria kunaπ
Mmefanywa maskini sana kwa sera mbovu za CCM.Mnadanganywa leo mkiwa na nguvu.Kesho yenu ni ngumu. Mtaumwa vifua,macho,viuno,migongo. Mahospitalini wamejaa rafiki zenu wakiwa na majeraha makali.Kila siku mnakufa kwa ajali.Aliye walipia hili bango mwambie mtoto wake aungane nanyi.
@LukingaKhadija@Jambotv_ Hujaelewa, baada ya kufanya maendeleo husika kwenye mkoa husika kile kinachobaki inaenda kwenye ile mikoa isio jiweza, soma vzr, mbona USA hakuna jimbo lipo kama ethiopia unayosema?
Juu ni watoto wa wananchi walipa kodi wakielekea shuleni kwa kutumia mtumbwi huku wakiwa na hofu kama watavuka salama bila kuvamiwa na Mamba.
Chini ni mtoto wa waziri mtoza kodi akipelekwa shule kwa gari ya serikali aina ya Toyota Land Cruiser V8 yenye thamani ya milion 500.