@bontojr4 Kuna kampuni inaitwa watu inatoa mkopo wa pikpik unatanguliza 400,000 alafu per day 12400 ni mkataba wa miezi 15 mpaka 18 inategemea na aina ya piki pik vijna tuna tumika saa bora huyo muindi
Kuna muda mambo yanakuwa magumu kila unachokifanya hakionekani, kila unapogusa panaharibika, kila deal linabuma, kila mchongo unaharibika huku ukitazama mambo ya wenzako yanasonga, michongo yao inasimama na kila wanachokifanya kinaeleweka. Hii inafikirisha saana😭
Njia nyingine nzuri ya kumuonesha upendo yule umpendaye ni kumuacha aende kwa yule ampendaye huna haja ya kugombana naye wala kupigana naye wala kurogoana naye let her/him go. Utakuwa umetenda vyema sana
"Siyo mimi tena, kristo ndani yangu hayo yanitosha na neema ya Mungu kwani kwenye mapungufu yangu ndipo nguvu za Mungu zatimia. Maana yote nitendayo ni kwai mani na sitaibatili njia ya Mungu wangu"
Hana pesa nyingi, si tajiri ila yupo
pembeni yako na anahakikisha
una furaha kupitia hicho hicho
kidogo chake anachoshea
nawe,usipoteze, wapo wachache
sana wenye moyo huo . Jah bless🙏🙏🙏🙏
Hakikisha nguo unayoiacha ili mwanaume mwenzio achukue iwe im3choka mpaka akose namna ya kuivaa vizuri na ata kama akiivaa basi hisimtoshe. Usiachie nguo ambayo bado ina mwelekeo. Elewa neno nguo🤣🤣🤣🤣
Valentine ni siku ya kufanya ibada, kutoa sadaka kwa wahitaji na kuwafariji wenye uzuni, itumie hii siku kufanya matendo ya huruma na kuwaombea wanaopitia nyakati ngumu. Unaweza chukua ata famila yako mkafanya jambo hili kwa ukubwa. Na utabarikiwa saana. Sitawafundisha tena.🙏🙏
@SuluhuSamia Hongera mama kwa kazi kubwa unayoifanya Mungu akubariki.
Mama mi naomba unisaidie niende law school nina mwaka sasa tangu nimalize chuo na mtaani kugumu sijapata ada gharama mpaka namaliza law school itakuwa milion 6, ikijumuisha ada, kulala, staitionary na matumizi mengine. 🙏🙏