๐JE UGONJWA WA KU-KISS [Kissing disease,Epstein-Barr virus] ni nini?
Epstein-Barr virus ni moja wapo ya kirusi ambaye anapatikana kwenye kundi la Herpes virus.
๐KWANINI NIMEELEZEA KUHUSU HERPES VIRUS?
Hawa ni virusi ambao wana sifa ya kuishi milele kwenye miili yetu.
๐๐
CHE FONDOH MALONE JR IS ๐ด๐ฆ
Malone Jr. aka 'The Wall of Jericko' amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili
Umri: 24
Taifa: Cameroon ๐จ๐ฒ
Nafasi: Mlinzi wa kati
Mguu: Kulia
Urefu: Futi 5.9
Ametoka: Coton Sport FC ๐จ๐ฒ