@CloudsMediaLive Wamehack na account ya TIC, Simba sports club na ya chief odembaa wakubwaa Hawa watu sjui wanakenga nini kwa hii nchii asee cyber police wadeal nao fasta kustopisha huu uhunii wanaofanya.
@Dominicksalamb1 Yani wewe kweli ni mchambuzi na unalipwa helaa na ssb aisee unauwezo mdogo sana wa akili kaka mkubwaa nlikuwa nakuheshim ila sasa hio heshima Bora nimpe nyanii😎
@MalemboLE Ndio napenda hii kama njia kuu ya kujirekebisha na kuwa Bora zaidi Mimi ni mwanadamu nafahamu lazima Kuna muda natenda isivyo sawa wanapinikosoa nawaelewa na kuheshimu hata kama naumia na Wala siwezi kumchukia mtu akinikosoa.
@privaldinho Huna lolote wewe kwenye soka la nchi hii wewe kaa kwa kutuliaa acha wenye mpiraa wao waamuee mtoto mdogoo sana wewe acha kuliaa wakubwa waamue mamboo na wewe utii ndo kazi yakoo.
@TanzaniaOneJezi@ze_mandevu Kaka nkisomaga the way unacomment na kuandika mambo Nagundua wewe ni mtu safi tuh ila unahasira sana na watu wenye tabia za kiwaki wenye mambo ya kisenge kwahio huwa naishi kwenye wewe ni mtu safi ila the way unadeal na mawaki naishiaga kuchekaa tuuh 😎🙏🏿
@Vitabu247 Pesa haitaki kelele na mbwembwe inatakaiwe humble na mkimya sana pia ishi kimkakati nayo Yani tanguliza nidhamu na hofu ya MUNGU MBELE ukiongeza na bidii ahaaa pesa inatulia mkubwa