The biggest favor you can do for yourself as a man is to stay busy.
Build something.
Work on yourself.
Chase your goals.
Keep your mind occupied with purpose. A man with direction has less time for distractions, unnecessary drama, and things that add no value to his life.
Hakuna kitu kinachoshinda aura ya kuwapeleka madogo shule na kuwarudisha mwenyewe. Mitikasi tu ya mjini ni mingi, ila ukijipata ki-financial, ndoto kubwa ni kuwa baba wa nyumbani huku unafurahia bia, mazoezi na kuchoma nyama.
The day i saw what money makes these women do.. is the day i said to my self , i need to get it by all means .. you literally treat them like trash and they love it too 😭🙆🏾♂️
Binadam tunapenda vitu vya thamani kama magari,nyumba, pesa na vito ila trust me hakuna kitu cha thamani zaidi ya Familia brother, Nothing comes close.
use whatever the fuck you have. looks, genetics, talent, connections, money, all of it.
there's nothing noble about choosing the hardest path just to feel like an underdog.
Moja ya mitego yangu kwa wanawake huwa ni hili swali:
“Ulishawahi kujiuliza vitu unavyofuta kwenye simu vinaenda wapi?”
Wengi wanajibu Recycle Bin… wakisha-clear na huko wanaamini wamefunga kesi.
Ladies, mki-date na ma-IT, msijipe sana confidence.
Kuna muda hatuna kazi, tunaanza kujipa kazi ya kuunganisha dots, kuchunguza activity na kutafuta majibu ambayo hayakuulizwa.
Niliwahi kumfuatilia Ex wangu baada ya kuona vitu havikai sawa. Mwisho wa siku nikagundua nilikuwa karibu kuitwa Baba wa mtoto ambaye si wangu.
Cha kuchekesha zaidi, walikuwa tayari wamepanga mzigo uangushiwe kwangu😂
Hapo ndipo nilijifunza:
Ukifuta evidence, haimaanishi historia haipo.
Wanaume wenzangu, msichoke kuwa makini.
Uki-date na IT, jua tu kuna mtu anaweza kuwa anasoma situation kabla hujaanza kuelezea situation.
Usiombe kuingia kwenye mahusiano na sisi.