@Mhuri93@Detu001@ezzy_wix Ni sababu ya muda, anaelipa mkopo kwa muda mfupi atakuwa na rejesho kubwa ila atalipa riba kidogo ila wa muda mrefu atalipa rejesho dogo ila riba itakuwa mlima
@Mhuri93@Detu001@ezzy_wix Reducing ni riba inayokuwa charge kwa jinsi deni linavyopungua, mfano kama umekopa 10m, rejesho la kwanza litapigiwa hesabu kwa riba ya 10m but la pili litapigiwa kwa kiasi cha mkopo kilichopungua sio kwenye 10m
🚨 Arsenal reach agreement with Club Brugge to sign Christos Tzolis. Deal for 24yo left winger done at €40m asking price set by #ClubBrugge. Move in process of being finalised - Greece international wanted & prioritised #AFC move throughout @TheAthleticFC https://t.co/iYMBAjVc3k
@kishoka_@Robyn062 Bro ata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo kuwa nikiwa 20m namaliza nyumba guess what, bati na mbao tu vilinicost 12m, bado hela ya fundi na bado misumari oya hiyo nyumba sio 20m msidanganywe