@Innocen89950594 Nia majina tu hiyo wanaita hivyo KCMCU pekee vyuo vingine vyote wanaita Bachelor of Medical laboratory sciences kuanzia MUHAS, CUHAS na sasa UDOM
@Palule31@Detu001@ezzy_wix Sawasawa nimekuelewa sasa swali langu Rejesho litabaki lile lile au litapungua kila Deni linavyopungua!? Na je hii milio ya watumishi na baadhi wanatoa shuhuda let say mtu kavuta 25M anarejesha 40M huwa ni story au namna gani
@MarekaMalili COs walitakiwa wawe kwenye Primary Health Facilities huko hasa Dispensaries na HCs ila kwasasa hadi DHs wapo sema huko wanakaa zaidi OPD kwa vituo vingi hata Ward Round hawapigi, japo bado DH wanafanya hayo majukumu Sababu ya uchache wa MD na AMO
@stanleysamwel22@MaxTz255_ Umekkiri kweli Jamaa kasema ukweli hapo ulikuwa unakubaliana na CO, Wakati huohuo ukasema vifo vingi vinasababishwa na Hospitali tena ukasena wanaofanyiwa upasuaji Mkuu mbona CO hafanyi Upasuaji
@AthanasBenson@ezzy_wix Shida ya bank sio hizo Riba % mnazoona ni namna urejeshaji wa Mkopo over time unavyokuwa calculated Mkuu! Unavyooambiwa sijhi Riba ni 16% kuna hesabu zao over time lazima utoe mlio tu mbona haya yanasemwa na watumishi Daily na kadri muda unavyokuwa mkubwa ndio Deni libakuwa kubwa
@baba_CLAUDETTE@ezzy_wix Mimi nimekopa Mwezi wa 4 nikaset makato kiasi flan naukumbuke nowdays tunatumia ESS na sio makaratasi kila kitu unaona weww na Afisa miko kama waliset 300k basi kila mwezi ni 300k maana mnaset na muda wa rejesho kabisa
@AmRosalinee Kureview Education System, Kuboresha maslahi yw Watumishi, Kukomesha upigaji kabisa kwa kuweka sheria kali sana, Kuhaikikisha upatikanaji huduma za Msingi za kijamii
@Timbertzaa@kapeto98 Serengeti nimefika kitambo sana Pale Mugumu Kwanza njia ya kutoka Bunda hadi Serengeti bado vumbi, Bunda nimepita nikiwa naenda huko Mugumu, Musoma,kiabakari Musoma/Tarime
@Timbertzaa@kapeto98 Mkuu wangu nimesoma hapo Mara, Nilipapenda zaidi Tarime hata siku nikisena nirudi basi Tarime kwa mbaali ni Butiama nina malengo flan huko