Liverpool has played a serious Klopp-brand Rock’n’Roll football this season but they may end up winning nothing. @JMakamba Viongozi wetu tuweke akiba za maneno
Uuanaume ni nini?
Uanaume ni ile siku unaenda kutambulishwa na mchumba wako nyumbani kwao alafu muda wa kuondoka kuondoka unamwita baba mkwe chemba unamuomba ela ya nauli.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtoto wa 1: Bsc
Mtoto wa 2: MBA
Mtoto wa 3: Phd
Mtoto wa 4: Mwizi.
JIRANI: kwanini usimfukuze huyo wa nne?
BABA: huyo ndo peke yake analeta pesa nyumbani hao wengine hawana kazi.😂😂😂😂😂😂😂😂