Bersel boxers, vests and socks
Original made in Turkey
Best quality, comfortable and luxurious 👌🏾🔥
Affordable prices: 10k@
We do delivery 📦 🚚
Phone: 0764858041
~KARIBU TUKUHUDUMIE~
The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting, demanding free and fair elections.
Huyu mwanamke alipigwa risasi geita nyankumbu tarehe 31/10 alikuwa Ameenda kununua mafuta na hapo alikuwa na mimba ya miezi 6,😭ameacha watoto wadogo mpaka sasa ukiwauliza mama yuko wap wanasema Ameenda kununua mafuta 😭😭huyu samia ni muuaji hastahili hata kuongoza familia 😭
Ukitaka kujua utu wako una shida kubwa chunguza ule ugumu unaoupata kuelewa hisia za mwenzako. Huna kabisa uwezo wa kuelewa maumivu anayopitia mtu. Huna msamiati wa faraja kwa binadamu mwenzako. Inaitwa alexithymia.
Kuna ile angalau unaelewa hisia lakini huwezi kuzisikia. Mfano unamwambia mtu pole kwa matatizo lakini ndani unaona kabisa hizo hisia zinazobeba maneno unayosema huna. Msamiati unao lakini huna hisia. Ukiwa na alexithymia hata hayo maneno yanayomfariji mwenzako hayapiti kinywani mwako.
Hatua mbaya zaidi unayoweza kufikia kama binadamu ni kuelewa maumivu ya mwenzako lakini unaamua kuyakejeli. Unajua mwenzio anaumia lakini unamuongezea maumivu ama kwa kupuuza kinachomuumiza au kwa kumgeuzia kibao. ‘Si nilikwambia? Umejitakia. Ona sasa unaumia.’ Unapomsimanga mwenye maumivu unakuwa psychopath.
@mindfulmaven_ The enemy would love for us to be a prisoner of doubt, a prisoner of shame, a prisoner of bitterness. You’re in the wrong prison. God wants to pay you back. Become a prisoner of hope.