RETWEET IWAFIKIE WENGI
Account ya Twitter ya ndugu yetu Buyobe Imekua Hacked
Nimejaribu kumfikia kupitia namba yake ya simu, hakupokea simu ila alijibu text kua account yake imeibiwa.
⚠️Makubaliano yoyote yatakayofanyika kupitia Account yake (DM/Reply) itambulike kua sio yeye