@mangekimambi Maana halisi ya UZALENDO ndani ya hii nchii imebadilishwa maana, na inatumika vibaya sana.
Wao wanaamini UZALENDO ni kuipigania na kuilinda nembo ya chama na UHAINI ni kusimama katika ukweli.
Inasikitisha sana na safari ni ndefu sana ๐ฅ๐ถ๐พโโ๏ธ
Kusema kweli, wengi Tz tunam-support Mange Kimambi kwa sababu Tunaichukia CCM, na Mange yupo kwa ajili ya kutukumbusha kila siku, kwa mabaya waliyoyafanya.
But otherwise nipe sababu nyingine ambayo inakufanya um-support Mange ๐ซด
@Sincerelyrahma7 Mungu ndiye anapanga kila jambo.
Hakuna jambo linatokea kwako bila ruhusa yake.
Mwanga upo mbele Boss, uwe na kheri katika umri wako mpya.
Leo ni birthday ya Mama Ryanโค๏ธ
Ila kwa mara ya kwanza, naomba nisiambiwe "Happy Birthday" Sijisikii kusherehekea chochote
Badala yake, niombeeni dua, dua nyingi na kwa wingi
Kiukweli kuna mapambano ambayo nimeyabeba kimya kiasi kwamba hata tabasamu langu kuna muda limekuwa sehemu ya kuficha maumivu. Kuna usiku ambao nimekesha nikimwomba Mwenyezi Mungu anipe sababu ya kuendelea, na kuna siku ambazo nimecheka mbele za watu huku moyo wangu ukiwa umechoka kupita maelezo
Sijui mwaka huu utaniletea nini ila ninachojua ni kwamba nimefika hapa kwa rehema za M/Mungu na si kwa sababu nilikuwa na nguvu kuliko matatizo yangu ila ni kwa kuwa alinipa ujasiri
Kama umewahi kunitakia mema, leo usinipe salamu za birthday bali nipe dua na uniombee kheri
M/Mungu aniondolee yale yanayoniumiza kimya kimya, anifungulie milango ya kheri, anipe utulivu wa moyo, na aniandikie maisha yenye baraka kuliko niliyowahi kuyaota.
Wakati mwingine dua moja ya kweli kutoka kwa mtu usiyemtegemea inaweza kubadili maisha kuliko maneno elfu ya pongezi.
Allah anijaalie umri huu mpya uwe mwanzo wa faraja baada ya maumivu, mwanga baada ya giza, na urahisi baada ya kila ugumu.
Aamiin ๐คฒ๐ฝ
BREAKING :
KRISTOFA PELNANDUZ anakuwa mchezaji wa kwanza kucheza Kombe la Dunia mara 6 mfululizo naโฆ.โโโโโโโ
1. Kushindwa kulipata
2. Kuondoka na โknock out stageโ goal moja la penalty
3. Kuwaita mashabiki zake โwendawazimuโ
4. Kusema kombe la Dunia ni Sawa na Euro