Said Issa Mohamed hapaswi kufukuzwa tu, bali anapaswa kukamatwa na kushitakiwa haraka kabla hajakimbia
Hii ni kwa Sababu Ile kesi Yake ya UONGO imesababisha hasara ya mabilioni ya hela kwa Chadema baada ya Mali nyingi kuharibika kutokana na katazo la kuzitumia baada ya. hukumu ya kipuuzi ya Jaji Mamluki Hamidu Mwanga
Said akidakwa atasaidia kuweka angalizo kwa Mamluki wenzake. Na hiyo itakomesha Mamluki wengine wajao
Niko Tayari kulipa gharama ya kesi hiyo
Nakala: Peter Kibatala, Hekima Mwasipu
Watoto wa Mwenyekiti Tundu Lissu wamekua wakisikia simulizi za baba yao akiteswa na hata kushambuliwa kwa risasi kwa ajili ya kupigania haki za watu wengine. Leo, mtoto wake yuko barabarani akidai uhuru wa baba yake. Ni hadithi ya kutia moyo, lakini pia ya kuhuzunisha sana.
Huu ujumbe hata mi niliupata wiki 2 zilizopita 🙏🏽 aisee!
Mungu atajibu soon! Ametupitisha kwenye tanuru la moto ila tumeshinda! Tupambane!
Yoeli 2:25
“Nitawarudishia miaka ile iliyoliwa na nzige, kila kitu kilicholiwa na tunutu, parare na matumatu, hilo jeshi kubwa nililowaletea”
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema licha ya Serikali kulipa mishahara kwa Watumishi wa umma hata nyakati za mdororo wa uchumi lakini bado kuna Watumishi hawatendi haki kwa Wananchi.
Waziri Mwigulu ameyasema hayo leo Juni 5, 2026 mbele ya Wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.
“Hata nyakati za mdodolo wa uchumi na tumpongeze Rais wetu, Tanzania haijawahi kushindwa kulipa mishahara kwahiyo kila siku wanalipwa sasa tunalimbikizaje kero? Na Watu wapo busy kuchart zikisogea tarehe wanaulizana mshahara umeingia, nimepita Wilaya moja wamegwana fedha za maendeleo zaidi ya milioni 500 nikasema kamateni wekeni ndani wasiwatoe hadi warudishe hizo fedha”
“Hatuwezi kufanya mzaha tutaelewana tu, nguvu ya soda nguvu ya soda, Wachungaji wana nguvu ya soda ? Nguvu ya Yesu lazima Watu wapate haki zao,”amesema Waziri Mkuu.
#MillardAyoUPDATES
🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆
Kwa Hii Mishuti Huyu Babu wa Miaka 41 Unaweza Sema Kijana wa Elfu Mbili wa Serengeti Boys….!
Kuna Timu Naziona Zikienda Kutetemeshwa Kwenye Kombe la DUNIA Wiki Ijayo..!😅
#MeaMswahiliTRENDING
Nmecheka Kama Mazuri 🤣
Kuna Msichana Wetu Alikuwaga Ni Mdada Mkubwa Tu..
Mnene Kama Baby Elephant
Sa Siku Akaniletea Ukenge, Tupo Wawili Tu Nikamchamba Akanijibu, Nikamfuata Ka Naenda Kumpiga Na Yeye Hakutegemea Nikaona Kabisa Ameogopa. Nikafika Alikokuwa Nikamtia Singi
“Tanzania na Urusi zimekuwa zikifurahia urafiki na ushirikiano wa kihistoria wenye mafanikio kwa zaidi ya miongo sita, uliojengwa juu ya umoja, mshikamano na kuaminiana. Kwa mantiki hiyo, hatuanzi kutoka sifuri, tunaanzia katika ushirikiano ambao tayari umejengwa kwenye msingi imara na wenye matokeo dhahiri.” - Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia jukwaa la Kimataifa la 29 la Uchumi la St. Petersburg, (SPIEF 2026), Urusi