I Hope Our Friends Understand That We Are Growing And Things Won't Be The Same Anymore. We Are Facing A Lot Of Challenges As We Grow. These Are critical Years That Need Us To Focus. people We Date Now Have The Potential To Be Our Wives... We Need Time Learn Them.
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
MTAZAMO TAJIRI:
Nahisi mabinti wengi wanao haribika ni wale waliotoka maisha ya kawaida sasa wanafika mjini wanataka waonekane na wao kwao zipo, ila tajiri kama binti kwao pesa ipo ya kutosha hawezi yumbishwa na mwanaume niamini.
#TajiriLaKihaya
Mm ndio maana nlishasema Hakuna binti yangu atakae kanyaga Chuo kikuu…
Vyuo vinaongoza kuzalisha malaya… wanawake wenye hawana adabu wala aibu… mabinti walevi… wavuta bangi na shisha…ma single mother…WASIMBE…
Mm na mabinti wanne - in sha allah wakimaliza form four kila mmoja nitampa 200m mtaji aanze biashara na aolewe- watulie kwenye ndoa zao!
Akitaka kuendelea na masomo aendelee akiwa kwa mumewe kama ataridhia…
Vyuo vikuu vyetu hapana kwa kweli…
Unajua binti yako anasoma… kumbe anaishi na mwanaume pika pakua! Si bora aolewe tu halali!
On this World Environment Day, we call upon the youth to transcend mere dialogue and embrace decisive action. Climate justice is paramount. Our leadership and active participation are essential in shaping a sustainable future.