#VIDEO Huzuni imetawala Jijini Dodoma baada ya wanafunzi wawili wa chuo cha St.John's ambao ni Rebeca Misungwi na Felista Peter Fransis kufariki kwa ajali ya Moto uliotokea katika chumba walichokuwa wanaishi, huku Chanzo cha tukio la Moto huo ukihusishwa na Wivu wa Mapenzi
Inaelezwa kuwa Moto huo uliwashwa na Mpenzi (Boy friend) wa mmoja ya wanafunzi hao (Felister) Boyfriend ambae pia ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu hicho cha St John's
Rebeca Misungwi alifariki dunia juzi tarehe 11 Juni, huku Felister amefariki dunia leo Juni 13 wakati akiendelea na matibabu katika Hosptali ya Kanda ya Benjamin Mkapa ya Jijini Dodoma
Tukio la Moto huo, lilitokea usiku wa tarehe 6 na Mwili wa Rebeca umesafirishwa Jana kuelekea Wilaya ya Magu Jijini Mwanza kwa maziko #EastAfricaTV
Huyu jamaa amezidi aiseee ๐๐๐
Kwanini unamsimamia akiwa anapika aisee ๐๐๐๐โโ๏ธ
Alafu hapo "ndio maana nakaa kimya" uku anatapika maneno 50 chini ya sekunde
Video kwa Comments ๐
Kiazi cha Kizimkazi Unaulizwa how will you bypass Russia Sanctions yeye ana kurupuka eti Tanzania haiko kwenye sanctions huyu kilaza na juzi tu kapewa PhD ila huyu mama jamani ujue ni Kopo