@HKigwangalla Ila wewe kigwa unakuwa Kama Chizi kalogwa Tena, au maana ya kutomsaidia baba ako inakutafuna kwa nyuma?
Yaani Ulifaili vipi wewe kwa Akiko hizi Kama za Nzi asiyejua kutengeneza asali wakati machaka yote anapita?
@CloudsMediaLive Kawa mpole kama JIBWA KOKO shubaaami! Tulikuwa tunakuambia Cheo ni DHAMANA..😆😆...Tena unatakiwa kushtakiwa wewe na wenzio kwa kingia Mkataba wa kijinga kabisa