@PKishamba Okay! Sasa kama wamekiri kwamba tarehe 8 kuna sintofahamu zilitokea kama walivyoahinisha hii derby inachezwa vipi mbn kuna sehemu kuna kitu kinatakiwa kifanyike?
@YoungAfricansSC Hii nacoment mara ya 20 nahisi! Yanga tusipeleke timu tarehe ikitajwa naombeni sana mimi ni mwanachama halali kbs pokeeni mawazo yangu @Caamil8