@Adventure_36 Aisee wamama Wana mioyo ya kipekee sana,honesty speaking kwenye maisha nimewahi kuzingua pahala pengi sana lkn bimkubwa alinishika mkono picha ya kumdispoint mara nyingi.
@meamswahili@rioferdy5 Mmekabidhi nchi watu wajinga wajinga,juzi kaja drogba,Tena aje reo Ferdinand,impact ya drogba kuja hatuioni analetwa mwingine kwa pesa zetu hizi hizi
@McinikaWaLamar Usinikumbushe mwalimu wetu wa practical pale UDSM madam Blenda alitushawishi 2016 tukaenda kwenye semina za forever living pale chuo Cha kilimanjaro institute of technology-Sinza,akaletw mdada ana gari Kali kuja kutoa ushuhuda ili kutumotivate but yalitushinda
@WideEdson Ukiendesha mwenyewe pesa ipo,nimewahi kumiliki bajaji mbili Moja nilimpa jamaa akawa anaendesha from buzuruga to kiloleli na nyingine from pasiansi to nyasaka msumbiji lakini niliambulia maumivu makali,usirogwe ukakabithi mtu akuletee hesabu litakukuta jambo
@WideEdson Kama pesa ipo weka update mkopo buthakikisha unanunua Bajaji aina ya TVS na uendeshe mwenyewe hapo sawa lakini kama unapanga kumpa mtu Nina habari mbaya kwako,kingine uwe na source nyingine ya kukuingizia kipato ili siku mambo magumu ikisaidie kurejesha pesa