@HKigwangalla Kwa hiyo umeamua kuja kuinanga Simba twiter?,mbona mwaka jana tulipochukua makombe yote hukuongea?,acha unafiki we ni mweshimiwa na umewahi kuwa waziri lkn hizi taarabu zako zinatushangaza sana
@MarekaMalili@mgimba_israel Magepu yapo maishani,usiwaze Sana huwezi jua kaijengaje inawezekana katoa ndagu watoto wake au ni Masonic au drud dealer au kapiga pesa serikalini yote yanawezekana au kajenga pia kwa utajiri wa halali
@nikkwapili Aisee hapo umeanza kuupiga mwingi Nick maana unatengeneza hata mentality ya kujiajiri hao wanafunzi endapo watakuwa wanayahudumia wenyewe hayo mashamba
@DrKessyJulius1@Liberatus80@SuluhuSamia Ni ujinga wamekosa platform ya kusemea mambo ya katiba mpaka wasubirie mama Yuko mahemezini?,siyo wazalendo kabisa maana tulitegemea wapromote royal tour kwanza halafu mambo ya katiba baadae baada ya kupush royal tour.
@SuphianJuma@ridhiwankikwete@jmkikwete We nawe tutolee ukiazi wako hapa,tangu ujiunge huko umekuwa ndezi sana,haujui mke wa raise anahesabiwa kwa mmewe?stahiki anazopata rais mstafu automatically hata mke wake anazopata kupitia mgongo wa mme wake maana ni Wana ndoa bado
@privaldinho Km tunataka kufuzu Bora tuwashawishi kina Morrison,sacko,inonga,chama,bwarya na onyango wabadili uraia ili Simba ituwakilishe wavae tu jezi ya stars maana tuna uhakika kwa mkapa point zote zinabaki,tukichanganya na drop hata mbili ugenini tunatoboa
@lifeofmshaba Jamaa hoja yako nimeiona Ina mashiko Sana,how come mlinzi akafanye ngono wakati Yuko kazini?,kukitokea uvamizi wowote na yy amenogewa na mahaba itakuaje?,hii kitu haijakaa vzr Kuna udhaifu kwenye management ya hii hotel
@lifeofmshaba Hapo sasa ,haiingii akilini labda Kama siku hiyo hakuwa zamu kwenye lindo lkn km alikuwa Yuko zamu na management wanamtetea hivi iko shida kwa hii hotel.