@Roma_Mkatoliki Hivi unapata mda wa kufanya kazi ya kukuingizia kipato au unalipwa Kwa hiki unachokiandika Kila siku? Kuna mmoja amesema nchi apewe mtu anae aminika na vyombo vya kimataifa, Drc hivyo vyombo havipo? Na Nini kinaendelea. Ipende nchi yako au kama hutaki tuhurumie Watanzania,
@MariaSTsehai Bahati mbaya sana watekelezaji wa maandamano wanafamilia pia kama siyo yake basi ni kwao, matokeo yatagusa familia Moja Kwa Moja, wakati huo nyie mko X mnapongeza huku tunaumia tulioko nchini. Akili itumike, Kwa anaeshawishi na anaeshawishiwa. Ukiambiwa changanya na zako
@Lizzie36021@Dr_DGwajima amekwisha sema mashoga wanaandaliwa majumbani humu humu. Mnazaa na mwanamume; Kwa tabia zako mbaya anashindwa ishi na wewe huku uki - pose kama victim... Unakuza mtoto wa kiume bila mentor huku ukipambana kupata title "Nani kama mama" unatengeneza shoga.