https://t.co/PxZ2HEvhSy Vijana wasikae nyumbani waleteni chuoni wapate maarifa na fursa za ajira. St. Mary’s hatubembelezi ni ajira direct baada ya kuhitimu karibuni
Uhuru, haki, na amani ni msingi wa maendeleo. Ni haki ya kila mtu kuishi kwa uhuru, bila hofu na kutendewa kwa usawa na heshima.
Kwetu Tanzania, uhuru, haki, na amani ni muhimu sana. Kuendeleza amani na utulivu ni wajibu ili kujenga taifa letu.
@mdudenyagali Shida yako kaka, nikuona kuwa walioko serikalini ni mapunguani. Watu wazima wenye elimu na uwezo wa kuendesha nchi kwa masilahi ya umma ndio wanafanya maamuzi kwa niaba yetu sote. Usikimbilie kulaumu jua undani wa taarifa..
MISSION 300 AFRICA ENERGY SUMMIT
Mission 300 Africa Energy Summit
The Mission 300 Africa Energy Summit, is held in Dar es Salaam, Tanzania, on January 27-28, 2025, gathering focus on accelerating energy access across Africa.