hakuna cha kukuwa careless hapo. Kuna higher chances msee alirequest cab ni mtu alikuwa anakatia huyo dem. Wewe juilize unaeza kubali mtu akushow u-requeat cab na simu yako kwa stranger?
Hii app ukitafuta kitu ya kukasirika utapata tu. Some of you need to learn how to scroll past shit you don't agree with. Atleast muache kuwa mad from Monday to Monday. Kila siku "I am shocked", so what? Puta!