Happy birthday Mzee wangu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @MagufuliJP Nakuombea afya njema, Mungu akutunze, akulinde na akujaliye nguvu na ujasiri zaidi unapoendelea kutekeleza majukumu yako.
“...we find and hold that the entire appeal has no merit.The appellant was supposed to abide by the order of the High Court to cause the amendment of the LMA as directed.Having so stated,we dismiss the appeal in its entirety with no order as to costs” Pg 51 of CAT’s ruling
Kuna nguvu kubwa sana katika imani/kuamini, kadri unavyo amini ndivyo unavyopata msukumo wa ndani wa kuchukua hatua zaidi. Kamwe tusiruhusi imani zetu kuzimwa na mtu yoyote.
Pasipo mrejesho dhana nzima ya mawasiliano yenye tija inapotea na gharama yake ni kubwa, jitahidi kadri uwezavyo kurudisha majibu/mrejesho ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima.