Uwekezaji kwa Maendeleo ya Mwanamke ni Sawa na Deni. Wanawake wanao wajibu wa kutumia Uwekezaji huo kwa Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Taifa. Uwezo huo wanao!
Prof. Wineaster Anderson Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala
On 27th February ,2024 in collaboration with @NACOPHA and @USAIDTanzania "AFYA YANGU project" . We are having a "YOUTH AIDS DISCUSSION" Starting from 2pm to 5pm with an aim of increasing the knowledge and awareness on prevention of HIV/AIDS among youth.
@ummymwalimu
Kwa namna ya pekee utawala wa Hospitali ya UDOM inawaalika kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa tiba kutoka kwa taasisi ya Alnmaa na African Releaf and Community development
@udomtheofficial@udom_public_hdp@tamsa_udom@udomhealthclub

Waelimishaji rika chuo kikuu Cha Dodoma wamepokea mafunzo kutoka kwa watoa huduma Hospitali ya UDOM juu ya ufikishaji wa taarifa Sahihi za huduma za afya zitolewazo UDOM, utoaji wa maoni na utoaji wa rufaa .
@udomofficial@unesconatcomtz#healthyLifeStyle#CollegeHealth

"Celebrating a century of informing, entertaining, and educating through the magic of radio waves. Happy World Radio Day 2024! 📻✨ #InformEntertainEducate#WorldRadioDay2024"
"Celebrating a century of informing, entertaining, and educating through the magic of radio waves. Happy World Radio Day 2024! 📻✨ #InformEntertainEducate#WorldRadioDay2024"
Ziara ya Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ya ufuatiliaji hali ya upatikanaji wa majisafi Chuo Kikuu cha Dodoma
@JumaaAweso@wizara_elimuTz@DrTaxs
"UDOM Embracing Knowledge "
Ziara ya Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ya ufuatiliaji hali ya upatikanaji wa maji Chuo Kikuu cha Dodoma
@JumaaAweso@wizara_elimuTz@DrTaxs
"UDOM Embracing Knowledge
🚨Unapokua Kiongozi, jitahidi kutengeneza viongozi wengi zaidi. Kamwe usigeuke kuwa mwiba kuzuia vijana wengine kukuza vipaji vyao vya uongozi.
Waambie wanaweza, na wajiamini, uwashike mkono na uwape sapoti.
“Leaders don't create followers, they create more leaders.”
~NJ🗒✍
》Elimu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia inaonekana kutolewa na wadau wengi lakini bado vitendo hivyo vinaonekana kuendelea kutokea, changamoto ni nini?
Wasikilize Waelimishaji Rika kutoka Chuo kikuu cha Dodoma Tarehe 13-01-2024 Kupitia C-FM 103.3 Kuanzia Saa saba kamili Mchana
MIMBA ZISIZOTARAJIWA SASA BASI.
UDOM Peer Educators kwa ushirikiano mkubwa na uongozi wa chuo pamoja na UNESCO,Tumejipanga kuhakikisha mazingira salama kwa wanafunzi wote wawapo chuoni na baada ya chuo,Tutatoa elimu na juu ya Maswala yote Jenzi.
Cc: @unescodar
UDOM Peer Educators Wishing you a Merry Christmas and a Happy New Year 2024 🎄✨
》 As we celebrate, let's collectively foster a safe and supportive environment for everyone. May the coming year usher in new opportunities for growth, success, and unity within our community.